Naona ameanza kuwehuka siku hizi, Lissu anawachanganya sana.Wewe maneno yaliyotumika dhidi yw kusanyiko la Chama chako yanakustahili kabisa. Huna hoja zaidi ya mihemko na lugha za kihuni. Yaani umeona wanaoongea uhuni wanapata teuzi na wewe umeanza kuiga. Bora ungebaki raia mwema mwenye busara kuliko kuwa kiongozi mwenye wahaka.