Uchaguzi 2020 Mwenyekiti na Katibu Mwenezi wako tunawaomba sana acheni kutufokea

Naona ameanza kuwehuka siku hizi, Lissu anawachanganya sana.
 
Usomi wako (kama wewe ni msomi wa kweli) unapaswa kukusaidia kuona nchi hii inahitaji mabadiliko, usiangalie teuzi unazozinyemelea ilhali ndugu zako wanakufa kwa umaskini.
Umemwambia anachopaswa kufanya lakini hana udhu wa kukifanya. Anaongozwa na ubinafsi na maslahi ya familia na kabila lake. Ameona uteuzi umempita kwa miaka yote 5 amegeukia kuchaguliwa nako Wajumbe wakamuona Kanjanja wakamtenda.
 
Supporters wa mabeberu tangu lini akawajali wanyonge?.
P

Hata wewe mkuu umeshakuwa wa hovyo hivyo....unaowaita mabeberu wamekuvalisha mpaka chupi hapo ulipo...nguo zote ulizovaa zimetengenezwa nje....ukiwa ccm huwa akili mnaweka pembeni.
 

Pascal Mayalla Bwanaa!
haya kazi ipo.
vipi yule aliyemuita Mgombea Mmoja MSUKULE?
Utalikemea lini?
Hivi mkusanyiko wa ukweli ni huu unaokusanya watu kwa malori na Viuno vya ZUCHU?
huu unao lazimisha wafanyakazi na wanafunzi kwenda viwanjani?
Unazungumziaje wanaoenda kwa nauli zao au kwa miguu na kuchangia mafuta na chakula kwa mgombea?
 
Achana nae keshachanganyikiwa
 
Huyo mtu mkimjibj ndo mnampa credit wakupuzwa tuu
 
Pole pole ni mweupe sana kichwani
 
Aibuuu.
 
kusanyiko la kusomba watu
 
Kama watangaza uhalisia chadema kidedea kwani maisha yamekuwa magumu
 
Tegemeo pekee la ccm ni watu hopeless kama Dr Mahera wa Nec.

Otherwise ccm ijiandae kukabidhi madaraka kwa Tundu Lisu hali halisi huku site siyo nzuri

Hata mimi nilikuwa naamini Magufuli anashinda bila tabu uchaguzi huu, but/lakini hii momentum of Tundu Lisu amegeuza upepo na unavuma upande wake na analitawala jukwaa na wananchi wanamwelewa.

Msaada pekee wa ccm uliobaki ni Nec tu, kwa sababu viongozi wa dini wameshapuuzwa na wananchi, msajiri wa vyama anaonekana kama Futuhi tu, ukimuangalia Mufti mkuu wa waislamu kasoma nyakati anahubiri haki na Mungu ndio atampa amtakaye.

Umeingia ccm kipindi kibaya, jiandae kuwa mkosowaji wa serikali ya Chadema.
 
Sawa ngosha mchumia tumbo kitaeleweka maana utakuwa katibu tawala kwimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…