Uchaguzi 2020 Mwenyekiti NEC: Uteuzi wa wagombea Urais utafanyika tarehe 25/08/2020 kwa wale wenye Sifa!

Uchaguzi 2020 Mwenyekiti NEC: Uteuzi wa wagombea Urais utafanyika tarehe 25/08/2020 kwa wale wenye Sifa!

De
Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Jaji Kaijage amesema uteuzi wa wagombea Urais wa JMT utafanyika tarehe 25/08/2020.

Jaji Kaijage amesisitiza kuwa ni wagombea wenye sifa ndio watakaoteuliwa kuwakilisha vyama vyao kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba.

Chanzo: ITV habari!
Delete ccm Oct 28
 
Form anapewa yeyote atakaye pitishwa na chama chake ,ata wewe Kama hauna sifa chama chako kikikupitisha Basi unachukua form,.kazi inabaki kwao kuangalia sifa zao
Ok mkuu nafikiri ni vyema basi mapema tume itujulishe watanzani ni sifa gani wanazitakana na ambazo hawazitaki ambazo zitamuengua mgombea yeyote ili ziwe wazi
 
Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Jaji Kaijage amesema uteuzi wa wagombea Urais wa JMT utafanyika tarehe 25/08/2020.

Jaji Kaijage amesisitiza kuwa ni wagombea wenye sifa ndio watakaoteuliwa kuwakilisha vyama vyao kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba.

Chanzo: ITV habari!
Nafikiri ni wakati muafaka wa kumchuja jiwe hapo, majaji wanatakiwa kuwa makini kabisa na hili.
 
Back
Top Bottom