Uchaguzi 2020 Mwenyekiti NEC: Uteuzi wa wagombea Urais utafanyika tarehe 25/08/2020 kwa wale wenye Sifa!

Uchaguzi 2020 Mwenyekiti NEC: Uteuzi wa wagombea Urais utafanyika tarehe 25/08/2020 kwa wale wenye Sifa!

Target ni Lissu. Otherwise kuna mitego miwili, wanafanya hivyo ili ACT na CDM washindwe kushirikiana ili wote wapitishwe wazigawe kura ... Alternatively, kama wataachiana mapema basi anayebaki anakachwa siku ya mwisho ili was iwe na mgombea.
 
Kweli mkuu Kama mtu anajitangaza mwenyewe kwamba ni kichaa na still sisi bado tuna mng'ang'ania atuongoze unadhani hapo Kuna Nini?
Jibu unalo wewe kwamba kama unajiona unaongozwa n kichaa basi wewe una hali mbaya sana kiakili.
 
Kama mtu hana sifa kwanini wakampa fomu?

Kwani inawezekana chizi siku moja akaenda kuchukua fomu ya Urais wakampa?

Huyo jaji aache kuchezea akili za watu, tumeshajua mgombea wetu ni nani na kura zetu anazo, yeye na hayo matamko yake ya ajabu ajabu anajifurahisha tu.
 
Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Jaji Kaijage amesema uteuzi wa wagombea Urais wa JMT utafanyika tarehe 25/08/2020.

Jaji Kaijage amesisitiza kuwa ni wagombea wenye sifa ndio watakaoteuliwa kuwakilisha vyama vyao kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba.

Chanzo: ITV habari!
Tundu Lissu vs JPM.

patachimbika!!
 
Hawezi kuthubutu kumkata Lissu kama anaitakia mema Tanzania
Slowly am seeing my country tested for the first time since i was born the first time was when idi amini dada invaded us. Am saying this because am seeing an intended ill will on it though it's a normal thing but its not going to be normal any more. I smell something fishy.
 
Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Jaji Kaijage amesema uteuzi wa wagombea Urais wa JMT utafanyika tarehe 25/08/2020.

Jaji Kaijage amesisitiza kuwa ni wagombea wenye sifa ndio watakaoteuliwa kuwakilisha vyama vyao kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba.

Chanzo: ITV habari!
Na hili la wagombea wenye sifa walisisitize sana maana wagombea wengine hawana ADABU kabisa.Mmoja wao ni yule anayesisitiza wananchi waingie barabarani kama atashindwa.Huyu sifa hana.
 
Slowly am seeing my country tested for the first time since i was born the first time was when idi amini dada invaded us. Am saying this because am seeing an intended ill will on it though it's a normal thing but its not going to be normal any more. I smell something fishy.
Kwahiyo unamfananisha Tundu Lisu na nduli Idd Amin Dada!!
 
Am seeing my country tested for the first time since I was born.The first time was when idii amini invaded us. Am saying this because I smell something fishy. An intended ill will is clearly seen on the horizon somewhere afar.
 
Ni matumaini yangu kila mgombea ambae amechukua form ana sifa kama hana sifa why wampa form
Mgombea ni yule atakayerudisha fomu.

Huwezi kuchunguza kila mtu anayesema atagombea na kuchukuwa fomu, sababu kuna wengine wanaweza amua kuacha kugombea kwa sababu mbalimbali.

Hivyo ni upotevu wa rasilimali kumchunguza kila anayechukuwa fomu. Bora kusubiri watakaorudisha, ndo uwachunguze kama wanakidhi matwaka ya kutangwaza kuwa wagombea rasmi.
 
Back
Top Bottom