johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nasisitiza Wagombea wenye sifa tu
Hapo ndio patamu bwashee!Nasisitiza Wagombea wenye sifa tu
Ni utaratibu wa kawaida kabisa!ni matumain yangu kila mgombea ambae amechukua form ana sifa kama hana sifa why wampa form
Woga wa Nini?Lisu out
Form anapewa yeyote atakaye pitishwa na chama chake ,ata wewe Kama hauna sifa chama chako kikikupitisha Basi unachukua form,.kazi inabaki kwao kuangalia sifa zaoNi matumaini yangu kila mgombea ambae amechukua form ana sifa kama hana sifa why wampa form
Kwani hizi sifa hazitolewi kabla ili mtu aone sifa hofu yote ni LisuNi matumaini yangu kila mgombea ambae amechukua form ana sifa kama hana sifa why wampa form
Shabikia tu mtaonaNi utaratibu wa kawaida kabisa!
Delete ccm Oct 28Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Jaji Kaijage amesema uteuzi wa wagombea Urais wa JMT utafanyika tarehe 25/08/2020.
Jaji Kaijage amesisitiza kuwa ni wagombea wenye sifa ndio watakaoteuliwa kuwakilisha vyama vyao kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba.
Chanzo: ITV habari!
Ok mkuu nafikiri ni vyema basi mapema tume itujulishe watanzani ni sifa gani wanazitakana na ambazo hawazitaki ambazo zitamuengua mgombea yeyote ili ziwe waziForm anapewa yeyote atakaye pitishwa na chama chake ,ata wewe Kama hauna sifa chama chako kikikupitisha Basi unachukua form,.kazi inabaki kwao kuangalia sifa zao
Nafikiri ni wakati muafaka wa kumchuja jiwe hapo, majaji wanatakiwa kuwa makini kabisa na hili.Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Jaji Kaijage amesema uteuzi wa wagombea Urais wa JMT utafanyika tarehe 25/08/2020.
Jaji Kaijage amesisitiza kuwa ni wagombea wenye sifa ndio watakaoteuliwa kuwakilisha vyama vyao kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba.
Chanzo: ITV habari!
Kweli mkuu Kama mtu anajitangaza mwenyewe kwamba ni kichaa na still sisi bado tuna mng'ang'ania atuongoze unadhani hapo Kuna Nini?Yap ndio rais wako huyo!
Sasa imagine mtu unaongozwa na kichaa, je, wewe utakuwa na hali gani?