Uchaguzi 2020 Mwenyekiti NEC: Uteuzi wa wagombea Urais utafanyika tarehe 25/08/2020 kwa wale wenye Sifa!

Uchaguzi 2020 Mwenyekiti NEC: Uteuzi wa wagombea Urais utafanyika tarehe 25/08/2020 kwa wale wenye Sifa!

Slowly am seeing my country tested for the first time since i was born the first time was when idi amini dada invaded us. Am saying this because am seeing an intended ill will on it though it's a normal thing but its not going to be normal any more. I smell something fishy.

This country needs to be liberated from the colonialist called CCM. The electrol commission must be skittish of bloodshed. People are now sick and tired of the way our general elections are being rigged time and again.
 
Moja ni kudhaminiwa na watu 2000 katika mikoa 10, walau 2 iwe kutoka Zanzibar!
Hilo ni dogo sana
Sisi watanzania tunaongozwa na rais mwenye akili timamu kabisa! Dr John Pombe Magufuli,

Nyie mnaoongozwa na rais kichaa bila shaka vichwa vyenu si tu ni vichaa bali vichwa vyenu mmejaza mafi
Lisuvhajawahi kusema yeye ni kichaa
 
Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Jaji Kaijage amesema uteuzi wa wagombea Urais wa JMT utafanyika tarehe 25/08/2020.

Jaji Kaijage amesisitiza kuwa ni wagombea wenye sifa ndio watakaoteuliwa kuwakilisha vyama vyao kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba.

Chanzo: ITV habari!
Uteuzi wa wabunge na madiwani wenye sifa ni tarehe ngapi?
 
Mfano meopokaji TLS, Aliyeifanyia uzandiki nchi yetu, Mfitini, Anayejifanya ni bora kuliko Sheria za nchi, Mdharau mamlaka, Asiyekuwa na aibu, n.k. Huyo hatumtaki kwa Mujibu wa Sheria. Tunamhitaji anayeipenda Tanzani kuliko Ubeligiji, Kuliko Kenya, Kuliko Ujerumani, Kuliko Marekani, na anayeviheshimu vyombo vya Tanzania kuliko vya Kenya, Marekani, Ubeligiji, Uingereza n.k.
Hatumhitaji Mtu mwenye Karba ya kubambikizia watu na taaisisi za Serikali Makosa kwa Lengo la Kuwafurahisha waliomtuma.
NB: Msinifokeeeee, Mfokeeeeni Papeti
Mkuu Kuna mtu aligawa korosho bure kule Zambia kinyume Cha sheria,Kuna mtu alificha madeni ya nchi kinyume Cha utaratibu akaumbuliwa na WB,Kuna mtu kaua masoko ya mazao ya korosho,mbaazi,tumbaku,ufuta na kahawa,mazao haya yanaajiri maelfu Kama si mamilioni ya watanzania,Kuna mtu kaua sector binafsi ambayo ndo engine ya uchumi,huyu ndo mzalendo wa kweli wa nchi yetu apewe kura za ndiyo mkuu
 
Mapungufu haya ya sheria zetu Hizi za uchaguzi ndio hutumika kama mbeleko ya kuibebea CCM! Wagombea wameshateuliwa, wakachujwa na kupitishwa na vikao vyote vikuu vya chama haya mambo ya kuanza kuteuliwa tena na tume ya uchaguzi! Hapa nafikiri NEC ilistahili tu kuwa chombo cha kuwathibitisha na si kuanza kuwateua tena! Hapa kuna shida kubwa inayoonekana waziwazi hasa ukizingatia watendaji wote wa tume yetu ya uchaguzi wanateuliwa na Rais ambaye pia mmoja wa washindani wanaowania kuteuliwa na tume hiyoiyo!
 
Ni matumaini yangu kila mgombea ambae amechukua form ana sifa kama hana sifa why wampa form
YES. Aiwezekani wampe mtu fomu asiye na sifa, halafu huyo mtu azunguke nchi nzima kutafuta wadhamini halafu wao wamekaa ofisini waseme hana sifa. Kitakuwa kituko cha mwaka.
 
Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Jaji Kaijage amesema uteuzi wa wagombea Urais wa JMT utafanyika tarehe 25/08/2020.

Jaji Kaijage amesisitiza kuwa ni wagombea wenye sifa ndio watakaoteuliwa kuwakilisha vyama vyao kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba.

Chanzo: ITV habari!
Sifa ni ile inayotambuliwa na CCM ambayo ndiyo inasimamia uchaguzi, ikisema NO hakuna atakayegeuza na matokeo ya uchaguzi hakuna atakayeyapinga popote pale duniani.
 
Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Jaji Kaijage amesema uteuzi wa wagombea Urais wa JMT utafanyika tarehe 25/08/2020.

Jaji Kaijage amesisitiza kuwa ni wagombea wenye sifa ndio watakaoteuliwa kuwakilisha vyama vyao kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba.

Chanzo: ITV habari!
Hawa wanachotaka ni kumkata tundu lissu kisha wamuache membe alafu watumie nguvu kubwa ACT waungane na CHADEMA ili kuwaforce wananch waende na MEMBE sasa ukitaka kujua nchi hii inauzwa subirin trh 25/8
 
Na hili la wagombea wenye sifa walisisitize sana maana wagombea wengine hawana ADABU kabisa.Mmoja wao ni yule anayesisitiza wananchi waingie barabarani kama atashindwa.Huyu sifa hana.
Mnashindana kuweweseka, huruma wajameni.
 
Back
Top Bottom