Incredible
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,031
- 1,603
Slowly am seeing my country tested for the first time since i was born the first time was when idi amini dada invaded us. Am saying this because am seeing an intended ill will on it though it's a normal thing but its not going to be normal any more. I smell something fishy.
Hilo ni dogo sanaMoja ni kudhaminiwa na watu 2000 katika mikoa 10, walau 2 iwe kutoka Zanzibar!
Lisuvhajawahi kusema yeye ni kichaaSisi watanzania tunaongozwa na rais mwenye akili timamu kabisa! Dr John Pombe Magufuli,
Nyie mnaoongozwa na rais kichaa bila shaka vichwa vyenu si tu ni vichaa bali vichwa vyenu mmejaza mafi
Uteuzi wa wabunge na madiwani wenye sifa ni tarehe ngapi?Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Jaji Kaijage amesema uteuzi wa wagombea Urais wa JMT utafanyika tarehe 25/08/2020.
Jaji Kaijage amesisitiza kuwa ni wagombea wenye sifa ndio watakaoteuliwa kuwakilisha vyama vyao kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba.
Chanzo: ITV habari!
Hao wanateuliwa na wakurugenzi huko wilayani.....itakuwa mapema zaidi!Uteuzi wa wabunge na madiwani wenye sifa ni tarehe ngapi?
Unaxijua sifa za wadhamini lakini?Hilo ni dogo sana
Lisuvhajawahi kusema yeye ni kichaa
Mkuu Kuna mtu aligawa korosho bure kule Zambia kinyume Cha sheria,Kuna mtu alificha madeni ya nchi kinyume Cha utaratibu akaumbuliwa na WB,Kuna mtu kaua masoko ya mazao ya korosho,mbaazi,tumbaku,ufuta na kahawa,mazao haya yanaajiri maelfu Kama si mamilioni ya watanzania,Kuna mtu kaua sector binafsi ambayo ndo engine ya uchumi,huyu ndo mzalendo wa kweli wa nchi yetu apewe kura za ndiyo mkuuMfano meopokaji TLS, Aliyeifanyia uzandiki nchi yetu, Mfitini, Anayejifanya ni bora kuliko Sheria za nchi, Mdharau mamlaka, Asiyekuwa na aibu, n.k. Huyo hatumtaki kwa Mujibu wa Sheria. Tunamhitaji anayeipenda Tanzani kuliko Ubeligiji, Kuliko Kenya, Kuliko Ujerumani, Kuliko Marekani, na anayeviheshimu vyombo vya Tanzania kuliko vya Kenya, Marekani, Ubeligiji, Uingereza n.k.
Hatumhitaji Mtu mwenye Karba ya kubambikizia watu na taaisisi za Serikali Makosa kwa Lengo la Kuwafurahisha waliomtuma.
NB: Msinifokeeeee, Mfokeeeeni Papeti
Kwahiyo nyie rais wenu ni Lisu?Hilo ni dogo sana
Lisuvhajawahi kusema yeye ni kichaa
Wewe wasemaKwahiyo nyie rais wenu ni Lisu?
Sasa kwanini ulisema watqnzania wote wana hali mbaya?Wewe wasema
YES. Aiwezekani wampe mtu fomu asiye na sifa, halafu huyo mtu azunguke nchi nzima kutafuta wadhamini halafu wao wamekaa ofisini waseme hana sifa. Kitakuwa kituko cha mwaka.Ni matumaini yangu kila mgombea ambae amechukua form ana sifa kama hana sifa why wampa form
Sifa ni ile inayotambuliwa na CCM ambayo ndiyo inasimamia uchaguzi, ikisema NO hakuna atakayegeuza na matokeo ya uchaguzi hakuna atakayeyapinga popote pale duniani.Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Jaji Kaijage amesema uteuzi wa wagombea Urais wa JMT utafanyika tarehe 25/08/2020.
Jaji Kaijage amesisitiza kuwa ni wagombea wenye sifa ndio watakaoteuliwa kuwakilisha vyama vyao kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba.
Chanzo: ITV habari!
Huku kwetu kila kitu kinawezekanaYES. Aiwezekani wampe mtu fomu asiye na sifa, halafu huyo mtu azunguke nchi nzima kutafuta wadhamini halafu wao wamekaa ofisini waseme hana sifa. Kitakuwa kituko cha mwaka.
Hawa wanachotaka ni kumkata tundu lissu kisha wamuache membe alafu watumie nguvu kubwa ACT waungane na CHADEMA ili kuwaforce wananch waende na MEMBE sasa ukitaka kujua nchi hii inauzwa subirin trh 25/8Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Jaji Kaijage amesema uteuzi wa wagombea Urais wa JMT utafanyika tarehe 25/08/2020.
Jaji Kaijage amesisitiza kuwa ni wagombea wenye sifa ndio watakaoteuliwa kuwakilisha vyama vyao kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba.
Chanzo: ITV habari!
Utafanyanini akikatwa kwa kukosa sifa za kuwa mgombea kwa mujibu wa sheria?Hawezi kuthubutu kumkata Lissu kama anaitakia mema Tanzania
Mnashindana kuweweseka, huruma wajameni.Na hili la wagombea wenye sifa walisisitize sana maana wagombea wengine hawana ADABU kabisa.Mmoja wao ni yule anayesisitiza wananchi waingie barabarani kama atashindwa.Huyu sifa hana.
Watafuatia waliobaki, wao watalia zaidi kwa muda mrefu zaidi wakati taifa likitoa machozi ya damu.CHADEMA watalia na kusaga meno