Uchaguzi 2020 Mwenyekiti NEC: Uteuzi wa wagombea Urais utafanyika tarehe 25/08/2020 kwa wale wenye Sifa!

Sisi watanzania tunaongozwa na rais mwenye akili timamu kabisa! Dr John Pombe Magufuli,

Nyie mnaoongozwa na rais kichaa bila shaka vichwa vyenu si tu ni vichaa bali vichwa vyenu mmejaza mafi
Hoja zimeshakauka umebaki kubwabwaja tu.
 
Sisi watanzania tunaongozwa na rais mwenye akili timamu kabisa! Dr John Pombe Magufuli,

Nyie mnaoongozwa na rais kichaa bila shaka vichwa vyenu si tu ni vichaa bali vichwa vyenu mmejaza mafi
We chako umejaza gunia la bangi si bure afu utakuwa na kibamia si kwa majibu haya dume zima huna hata haya
 

Mimi nilidhani vyama vikisha chagua wagombea Uraisi ndio basi tena - kazi ya tume inabaki kuratibu mwenendo wa uchanguzi na kutangaza Mshindi wa kiti cha Urais, hii ndio mara yangu ya kwanza kusikia kwamba kumbe Tume inahusika vile vile kyvichagulia vyama vya upinzania nani anastahili kuchukua tiketi ya kuwakirisha chama katika kinyanganyilo cha Urais - hii imekaa vipi mbona imekaa ndio sivyo!!
 
S

Sifa zipi zipi mbona hazitaji ?Ajichanganye aone ,mwaka huu hamtaamini ,vipi mbatizaji mwaka huu kura za Maoni ubunge ccm kwenu huko umepita au umetemwa Kama 2015?
mkuu ukumbuki maneno ya m
mkuu umeandika vizuri ,jamii forum raha sana yani ,binafsi mimi bado naamini wagombea wote wa vyama vyote
sasa mkuu kwani katika kugombea urais , wanaomtahin mgombea ni tume au ni wananchi , maana hao ndo wana majibu hivyo basi wagombea wote hata kama wako hamsini vyema wawe cleared ili wakafanye mtihani huko kwa wananchi na majibu watayakuta huko ,
 
Hakuna kitu hili lijaji. ...ni lipumba type
Jaji hatma ya Tanzania ipo mikononi mwako...timiza wajibu wako kwa HAKI taifa litakuinua..

Vinginevyo....!! sisi hatutakiwepo huko utakapokuwa unakwenda!!
 
Wananchi ni kama waajiri tuu ..Tume inawaperekea wananchi waomba Ajira wenye vigezo vinavyokubarika kutokana na Sheria zilizopo..Kila anayeteuliwa na Tume anakua amekidhi vigezo vyote vya kuwa Rais wa JMT.. HOWEVER kuna watakaokua na sifa za ziada, wananchi ndio wenyewe wataamua ni Nani wampe Ajira..NOTE: ni vigumu Sana mwananchi wa kule Lupaso au Rulenge Ku verify credentials kama vile vyeti ,maadili na Elimu ya mwombaji, so NEC ndio inafanya mchujo wa awali ili kuwapa waajiri Cream na kuweka pumba pembeni... Waingereza wanasema Guided Democracy.
 
Kwa Tume hii ya uchaguzi ambayo imewekwa MFUKONI na Rais, tutarajie viroja vingi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…