Mwenyekiti Samia ambakize Mzee Mangula lakini amteue Dkt. Rehema Nchimbi kuwa Katibu Mkuu

Hakuna mwanaCCM anayetoa ushauri kwa maslahi ya Taifa, ni kwa maslahi mapana ya CHAMA.

Vema kwa kukiri kuwa na uwezo mdogo mno kisiasa, huo ni uungwana.... nakupongeza.

Marhaba!
Chizz wewe[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Anzia 0:50

 
Ni sahihi kumwita Professor huyo mama eti kisa tu kafundisha chuo kikuu?

Ni sahihi, ikiwa tu alikuwa na PhD tayari kipindi anafundisha.... hii ni kwa mujibu wa mtazamo wa kimagharibi kama alivyogusia OP.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…