Mwenyekiti Serikali ya mtaa Mbezi Beach Ndumbwi aongoza wananchi kuzima mto kwenye nyumba iliyokuwa ikiungua

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
18,653
Reaction score
31,010

Katika hali isiyo ya kawaida, Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa, Ndumbwi, Mbezi Beach kata ya Kawe amefanya kitendo cha kijasiri kwa ku mobilize wananchi kuzima moto nyumba iliyokuwa inaungua.

Mwenyekiti huyo, Shabami Muya mara baada ya kusikia moto sehemu ya barabara ya kuelekea Baraza la Mitihani, pamoja na wananchi waliwaomba wafanya biashara wa kuuza maji kuleta maji na pampu zao.

Wananchi walipoona juhudi hizo waliingia sehemu ya nyumba hiyo na kusaidia kutumia pampu za maji kuzima moto huo. Idara ya Zimamoto walipofika eneo la moto walikuta moto umeshadhibitiwa.

Uzalendo na kujitoa kwa wananchi wa Mbezi Beach Ndumbwi kumewafurahisha wananchi wengi waliofika eneo la tukio.

Nami nimedokezwa juhudi hizi za mafanikio nusu saa iliyopita.
 
Wanywa visungura wanatukana matusi mazito wanafunga geti..... Vijana wa hivyo.
 
Hio mbezi beach hakuna fire brigade wananchi wanazima moto wenyewe. Je huku kwetu Tandale?
 
View attachment 3567713
View attachment 3569244
View attachment 3569246
Katika hali isiyo ya kawaida, Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa, Ndumbwi, Mbezi Beach kata ya Kawe amefanya kitendo cha kijasiri kwa ku mobilize wananchi kuzima moto nyumba iliyokuwa inaungua.

Mwenyekiti huyo, Shabami Muya mara baada ya kusikia moto sehemu ya barabara ya kuelekea Baraza la Mitihani, pamoja na wananchi waliwaomba wafanya biashara wa kuuza maji kuleta maji na pampu zao.

Wananchi walipoona juhudi hizo waliingia sehemu ya nyumba hiyo na kusaidia kutumia pampu za maji kuzima moto huo. Idara ya Zimamoto walipofika eneo la moto walikuta moto umeshadhibitiwa.

Uzalendo na kujitoa kwa wananchi wa Mbezi Beach Ndumbwi kumewafurahisha wananchi wengi waliofika eneo la tukio.

Nami nimedokezwa juhudi hizi za mafanikio nusu saa iliyopita.
Good
 
Back
Top Bottom