Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,055
- 8,540
Nilikuwa nimemsahau na kahata apo kati kati:Chama lim
Chama limetimia hilo mkuu, si nyumbani si ki intaneshno Lunyasi anatishaaa
Nimemdharau sana Dewji,hata kama ndiyo kuna hujuma,reaction yake mitandaoni ni ya kitoto sana. Kiongozi aliyeiva hawezi kuleta mambo ya taasisi mitandaoni
Mo hana lolote, anataka wakurugenzi mazezeta wanaomuunga mkono ili apore club for free. Nkwabi yuko pale kulinda 51% ya hisa! kimsingi ndiye anayepaswa kuwa mkurugenzi wa bodi! To hell with MO!
πππππHaya basi tuungane pamoja kumlaani na kumkemea shetani ili bundi asitue Msimbazi.
Hapa sawa japo naombea muanze kutolewa kisha ndio na sie tufuatie. ππMechi inayokuja kati yetu na nyie tuone pambano safi na sote tuiwakilishe nchi kwenye michuano ya kimataifa kwa mafanikio, au wasemaje Shadeeya?
Halafu sijui kajichubua huyu?Nilikuwa nimemsahau na kahata apo kati kati:
Wametuletea huyu macho malegevu ndio aje amkabe Deo kanda eti cc Shadeeya
View attachment 1147386
Hilo dua la kuku mamiiπππππ Hapa sawa japo naombea muanze kutolewa kisha ndio na sie tufuatie. ππ
Kuendesha Timu yake mwenyewe hawezi,anataka vilivyoundwa na kusimama,kitonga. Singida United na African Lyon zilimshinda.Mo aanzishe team yake binafsi. Aachane na hiyo team ya waswahili.
Dua la kuku iloπππππ Hapa sawa japo naombea muanze kutolewa kisha ndio na sie tufuatie. ππ
Anazo Mzee KilomoniKama waasisi wamepewa 1% na wanachama 10% na yeye MO(mwekezaji) 49% hizo % zingene ziko wap?
Hahaha wamesajili mabishoo: watu mchele mchele kabisaHalafu sijui kajichubua huyu?
Chmbπππππ Hapa sawa japo naombea muanze kutolewa kisha ndio na sie tufuatie. ππ
Mpira unachezwa uwanjani lakini.Halafu sijui kajichubua huyu?
WepesiiiπππHahaha wamesajili mabishoo: watu mchele mchele kabisa
Anachokifanya ni kumchonganisha nkwabi na wanachama na mashabiki,ili njia yake ya mkato iwe rahisi,hivi vilabu vyetu vinahitaji kufanya kama alivyoshauri rostam,kutokana na fanbase kubwa iliyo nayo zinaweza kianzisha biashara za viberiti,maji,juice n.k na wateja wakapata,wadhamini wakaja tu kama walivyokuja sportpesa kumtabgazia biashara zake basi,khs masuala ya klabu ayamhusuNimemdharau sana Dewji,hata kama ndiyo kuna hujuma,reaction yake mitandaoni ni ya kitoto sana. Kiongozi aliyeiva hawezi kuleta mambo ya taasisi mitandaoni
Kwahiyo unashauri tusiandikie mate na wino ungalipo? Msimbazi ndio tunayoyataka hayoMpira unachezwa uwanjani lakini.
Binafsi nimemshangaa sana Mo ,anatafuta huruma InstagramNimemdharau sana Dewji,hata kama ndiyo kuna hujuma,reaction yake mitandaoni ni ya kitoto sana. Kiongozi aliyeiva hawezi kuleta mambo ya taasisi mitandaoni