Mwenyekiti Simba atajwa kuwa kikwazo kwa MO

Mwenyekiti Simba atajwa kuwa kikwazo kwa MO

Chama lim

Chama limetimia hilo mkuu, si nyumbani si ki intaneshno Lunyasi anatishaaa
Nilikuwa nimemsahau na kahata apo kati kati:

Wametuletea huyu macho malegevu ndio aje amkabe Deo kanda eti cc Shadeeya

IMG_20190705_172029_774.JPG
 
hisa zipi hizo?
Mo hana lolote, anataka wakurugenzi mazezeta wanaomuunga mkono ili apore club for free. Nkwabi yuko pale kulinda 51% ya hisa! kimsingi ndiye anayepaswa kuwa mkurugenzi wa bodi! To hell with MO!
 
Haya basi tuungane pamoja kumlaani na kumkemea shetani ili bundi asitue Msimbazi.
😀😀😀😀😀
Mechi inayokuja kati yetu na nyie tuone pambano safi na sote tuiwakilishe nchi kwenye michuano ya kimataifa kwa mafanikio, au wasemaje Shadeeya?
Hapa sawa japo naombea muanze kutolewa kisha ndio na sie tufuatie. 😀😀
 
Nimemdharau sana Dewji,hata kama ndiyo kuna hujuma,reaction yake mitandaoni ni ya kitoto sana. Kiongozi aliyeiva hawezi kuleta mambo ya taasisi mitandaoni
Anachokifanya ni kumchonganisha nkwabi na wanachama na mashabiki,ili njia yake ya mkato iwe rahisi,hivi vilabu vyetu vinahitaji kufanya kama alivyoshauri rostam,kutokana na fanbase kubwa iliyo nayo zinaweza kianzisha biashara za viberiti,maji,juice n.k na wateja wakapata,wadhamini wakaja tu kama walivyokuja sportpesa kumtabgazia biashara zake basi,khs masuala ya klabu ayamhusu
 
Hizi habari za Gadiel Mmbaga kutu msimbazi ni za kweli?
 
Solution ni kuwa Mo aanzishe timu. Mbona si swala gumu.

Mashabiki wanaomkubali watahama nae na kushabikia "Metl Club"

Hizi timu za kariakoo sio kabisa.
 
Yeye gabachori kwanini asianzishe timu yake kama Bakhresa? Huyu anataka kutumia timu yetu kujinufaisha, atuachie timu yetu
 
Nimemdharau sana Dewji,hata kama ndiyo kuna hujuma,reaction yake mitandaoni ni ya kitoto sana. Kiongozi aliyeiva hawezi kuleta mambo ya taasisi mitandaoni
Binafsi nimemshangaa sana Mo ,anatafuta huruma Instagram
 
Back
Top Bottom