Mwenyekiti Simba atajwa kuwa kikwazo kwa MO

Moo ajabalehe bado..huwezi ukawa na pesa ukawa unalalamika kwa mafumbo kama mama ashura muuza mihogo buster
 
Huyu jamaa vp. Si aanzishe timu yake Mo FC amilikia 100% kama azam anavyofanya.
 
Nimemdharau sana Dewji,hata kama ndiyo kuna hujuma,reaction yake mitandaoni ni ya kitoto sana. Kiongozi aliyeiva hawezi kuleta mambo ya taasisi mitandaoni
Ukiona analalamika maji ya Shingo kahata atalipwa na nani
 
Hiyo.ndio best option, yeye sio mjinga, kwa vyovyote vile inaonyesha kuna mkono wa jiwe, sasa vita ya namna hiyo huwezi pigana kimya kimya, maana kama aliweza kunyamaza kutekwa kwake jiulize je hili kwanini kaamua kutoka public.
Moo ajabalehe bado..huwezi ukawa na pesa ukawa unalalamika kwa mafumbo kama mama ashura muuza mihogo buster
 
figisu zilianzia hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…