Mwenyekiti UVCCM Dar: Katiba mpya sio suluhisho la matatizo ya vijana, uwajibikaji

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Dar es Salaam, Nasra Mohamed amesema; "Hata tukitengeneza Katiba Mpya leo kama watu hawatawajibika bado tutarudi kwenye suala la malalamiko kwa Wananchi"

BILA KATIBA MPYA AMBAYO ITAWABANA VIONGOZI SAHAU UWAJIBIKAJI. NA ANAYE ONA UWAJIBIKAJI NI BORA KWA KATIBA HII KUNA KITU ANAKILINDA...TUNATAKA KATIBA MPYA.
 
Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Dar es Salaam, Nasra Mohamed amesema; "Hata tukitengeneza Katiba Mpya leo kama watu hawatawajibika bado tutarudi kwenye suala la malalamiko kwa Wananchi"
Hizi akili za kizee zilipaswa kukaa pembeni zinadumaza fikra za chama, sasa chama kinataka katiba mpya ingawa kwa mgongo wa chupa lakini hawa nao wanazidi kujilamba kwa wakubwa.

Katiba ndiyo muongozo wa nchi hivyo ikiletwa yenye mustakabali wa Tanzania iliyo bora uenda ikabadilisha kasi ya maendeleo katika nchi hii.

Hawa wapuuzi kwa kauli zao za kuona nchi kama shamba lao ipo siku yao waelevu wataenda hata kufukua mifupa yao na kuipandisha mahakamani.

Ccm inahitajia reform ya fikra za kuendesha chama hizi akili za jioni zitakiangusha chama siku za usoni.
 
Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Dar es Salaam, Nasra Mohamed amesema; "Hata tukitengeneza Katiba Mpya leo kama watu hawatawajibika bado tutarudi kwenye suala la malalamiko kwa Wananchi"

..wamuulize kama Katiba Mpya haifai kwanini CCM waliiweka ktk ILANI yao?

..Na zaidi kwanini Katiba Mpya ipo ktk DIRA 2050?
 
Back
Top Bottom