PreGE2025 Mwenyekiti UVCCM Dodoma aonya Viongozi wa Dini Kuhusu Siasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abduhabib Mwanyemba, amewataka viongozi wa dini na baadhi ya taasisi nchini kuacha kuingilia masuala ya siasa, akisisitiza kuwa Tanzania inaongozwa kwa misingi ya sheria na si kwa presha ya mitandao ya kijamii.

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa filamu ya "Because of Alcohol" iliyoandaliwa na kikundi cha Dom Saba, Mwanyemba alisema kuwa ni makosa kwa taasisi au viongozi wa kiroho kutumia majukwaa yao kuingilia mwelekeo wa kisiasa wa nchi.

Ameeleza kuwa licha ya idadi kubwa ya watu kumiliki simu janja (smartphones), ni asilimia ndogo tu ya Watanzania wanaotumia huduma ya intaneti kikamilifu.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Katika hatua nyingine, Mwanyemba aliwataka vijana wanaojihusisha na sanaa ya filamu kuhakikisha kazi zao zinaangazia pia elimu ya kiuchumi na maarifa yanayosaidia jamii, badala ya kushikilia simulizi za mahusiano pekee.
 
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abduhabib Mwanyemba, amewataka viongozi wa dini na baadhi ya taasisi nchini kuacha kuingilia masuala ya siasa, akisisitiza kuwa Tanzania inaongozwa kwa misingi ya sheria na si kwa presha ya mitandao ya kijamii.

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa filamu ya "Because of Alcohol" iliyoandaliwa na kikundi cha Dom Saba, Mwanyemba alisema kuwa ni makosa kwa taasisi au viongozi wa kiroho kutumia majukwaa yao kuingilia mwelekeo wa kisiasa wa nchi.

Ameeleza kuwa licha ya idadi kubwa ya watu kumiliki simu janja (smartphones), ni asilimia ndogo tu ya Watanzania wanaotumia huduma ya intaneti kikamilifu.

Katika hatua nyingine, Mwanyemba aliwataka vijana wanaojihusisha na sanaa ya filamu kuhakikisha kazi zao zinaangazia pia elimu ya kiuchumi na maarifa yanayosaidia jamii, badala ya kushikilia simulizi za mahusiano pekee.
Anawaonya Viongozi wa dini kwakuwa waliotoa tamko ni viongozi wa Kikristo na yeye ni swala tano.Apeleke upuuzi wake uliojaa udini.
 
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abduhabib Mwanyemba, amewataka viongozi wa dini na baadhi ya taasisi nchini kuacha kuingilia masuala ya siasa, akisisitiza kuwa Tanzania inaongozwa kwa misingi ya sheria na si kwa presha ya mitandao ya kijamii.

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa filamu ya "Because of Alcohol" iliyoandaliwa na kikundi cha Dom Saba, Mwanyemba alisema kuwa ni makosa kwa taasisi au viongozi wa kiroho kutumia majukwaa yao kuingilia mwelekeo wa kisiasa wa nchi.

Ameeleza kuwa licha ya idadi kubwa ya watu kumiliki simu janja (smartphones), ni asilimia ndogo tu ya Watanzania wanaotumia huduma ya intaneti kikamilifu.

Katika hatua nyingine, Mwanyemba aliwataka vijana wanaojihusisha na sanaa ya filamu kuhakikisha kazi zao zinaangazia pia elimu ya kiuchumi na maarifa yanayosaidia jamii, badala ya kushikilia simulizi za mahusiano pekee.
Huyu mvaa kobazi anajilinganisha na hawa wasomi wabobevu?
Huyu kijana ana malezi mabaya sana...na ndio wanaofanya CCM kionekane hakina direction...
Useless.
 
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abduhabib Mwanyemba, amewataka viongozi wa dini na baadhi ya taasisi nchini kuacha kuingilia masuala ya siasa, akisisitiza kuwa Tanzania inaongozwa kwa misingi ya sheria na si kwa presha ya mitandao ya kijamii.

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa filamu ya "Because of Alcohol" iliyoandaliwa na kikundi cha Dom Saba, Mwanyemba alisema kuwa ni makosa kwa taasisi au viongozi wa kiroho kutumia majukwaa yao kuingilia mwelekeo wa kisiasa wa nchi.

Ameeleza kuwa licha ya idadi kubwa ya watu kumiliki simu janja (smartphones), ni asilimia ndogo tu ya Watanzania wanaotumia huduma ya intaneti kikamilifu.

Katika hatua nyingine, Mwanyemba aliwataka vijana wanaojihusisha na sanaa ya filamu kuhakikisha kazi zao zinaangazia pia elimu ya kiuchumi na maarifa yanayosaidia jamii, badala ya kushikilia simulizi za mahusiano pekee.
Unapo kataza viogozi wa dini unataka kuficha nini ambacho hutaki wakiongelee?
 
Ilifaa awaonye wanatendea wengine uovu na uonevu kisa kutaka marekebisho kwenye yale yanayolirudisha taifa nyuma.
 
Back
Top Bottom