Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute

Hakuna mtu wa kumsakama mwenyekiti wa uvCCM nchi hii,huyu anaweza hata kukamata kuruta moja la jwtz na kulikata makofi mawili matatu na maisha yakaendelea fresh tu, ccm ni zaidi ya serikali.
 
Huyu kavimbiwa matoke anatoa ushuzi tu. Msijaribu huo mchezo mtapotezwa nyie mnaotoa kauli za kiburi na majivuno kwa kuwa mna nguvu za dola, shwaini, shame on you
 
Mungu atakuuliza umepoteza watu wangapi? watu wa mungu hao utajibu peke yako Wala sio sisiem
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…