Mngoreme wa pili
Member
- Feb 22, 2024
- 15
- 15
Mwenyekiti Taifa wa ACT Wazalendo Othman Masoud Othman, amesema Chama hicho hakitakubali aina yoyote ya hujuma zitakazosababisha kutangazwa kwa watu wasiochaguliwa kwa Kura za Wananchi kuwa wawakilishi wa Zanzibar katika vyombo mbalimbali vya maamuzi
Amesema kuna jitihada mbali mbali zinafanyika Kwa sasa ili kuhalalisha uharamia katika Uchaguzi ujao ikiwemo kuwazuia baadhi ya wananchi wasijiandikishe katika daftri la wapiga Kura Zanzibar
Msikilize Mwenyewe hapo chini