Mngoreme wa pili
Member
- Feb 22, 2024
- 15
- 15
Mwenyekiti Taifa wa ACT Wazalendo Othman Masoud Othman,amesema Chama hicho hakitakubali Aina yoyote ya Hujuma zitakazosababisha kutangazwa Kwa watu wasiochaguliwa Kwa Kura za wananchi kuwa wawakilishi wa Zanzibar katika vyombo mbali mbali vya maamuzi
Amesema kuna jitihada mbali mbali zinafanyika Kwa sasa ili kuhalalisha uharamia katika Uchaguzi ujao ikiwemo kuwazuia baadhi ya wananchi wasijiandikishe katika daftri la wapiga Kura Zanzibar
Msikilize Mwenyewe hapo chini
A DAY DREAM?Kumekucha kumekucha
Inawezekana hawaoni reform kwenye Nini. Vinginevyo vinginevyo no reform no election ilipaswa kuwa na nguvu sana Zanzibar kuliko hata TanganyikaThey should ACT now. Wakisubiri mpaka wapige kura, matokeo yatangazwe ndiyo watake Action haitasaidia.
Wasiond aibu, Waungane tu na Chadema. No Reform No Election.
Easier said than done.Mwenyekiti Taifa wa ACT Wazalendo Othman Masoud Othman,amesema Chama hicho hakitakubali Aina yoyote ya Hujuma zitakazosababisha kutangazwa Kwa watu wasiochaguliwa Kwa Kura za wananchi kuwa wawakilishi wa Zanzibar katika vyombo mbali mbali vya maamuzi
Amesema kuna jitihada mbali mbali zinafanyika Kwa sasa ili kuhalalisha uharamia katika Uchaguzi ujao ikiwemo kuwazuia baadhi ya wananchi wasijiandikishe katika daftri la wapiga Kura Zanzibar
Msikilize Mwenyewe hapo chini
TutafikaA DAY DREAM?
nilishawahi kumsikia askari mmoja wa KMKM Yeye ni mtu wa bara ila ni kmkm anasema.... " sisi ndiyo tunaowasaidia ccm washinde kule"Mwenyekiti Taifa wa ACT Wazalendo Othman Masoud Othman, amesema Chama hicho hakitakubali aina yoyote ya hujuma zitakazosababisha kutangazwa kwa watu wasiochaguliwa kwa Kura za Wananchi kuwa wawakilishi wa Zanzibar katika vyombo mbalimbali vya maamuzi
Amesema kuna jitihada mbali mbali zinafanyika Kwa sasa ili kuhalalisha uharamia katika Uchaguzi ujao ikiwemo kuwazuia baadhi ya wananchi wasijiandikishe katika daftri la wapiga Kura Zanzibar
Msikilize Mwenyewe hapo chini
Inawezekana hawaoni reform kwenye Nini. Vinginevyo vinginevyo no reform no election ilipaswa kuwa na nguvu sana Zanzibar kuliko hata Tanganyika
Ni muhimu sana akafahamu pia,Mwenyekiti Taifa wa ACT Wazalendo Othman Masoud Othman, amesema Chama hicho hakitakubali aina yoyote ya hujuma zitakazosababisha kutangazwa kwa watu wasiochaguliwa kwa Kura za Wananchi kuwa wawakilishi wa Zanzibar katika vyombo mbalimbali vya maamuzi