Mwenyekiti wa BAVICHA, John Pambalu akataa Unyonge, aelekea Singida na Timu yake kuunganisha Nguvu kwa Tundu Lissu!

Mwenyekiti wa BAVICHA, John Pambalu akataa Unyonge, aelekea Singida na Timu yake kuunganisha Nguvu kwa Tundu Lissu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mwenyekiti wa Bavicha John Pambalu ametoa taarifa kuwa Kesho anaelekea Singida Kuungana na Makamu mwenyekiti mh Tundu Lissu

Pambalu na Timu yake wataanza kuonekana kwenye Mikutano ya Tundu Lissu Kesho Juni 10

Taarifa imetolewa ukurasani X

Mlale unono 😀
 
Mwenyekiti wa Bavicha John Pambalu ametoa taarifa kuwa Kesho anaelekea Singida Kuungana na Makamu mwenyekiti mh Tundu Lisu

Pambalu na Timu yake wataanza kuonekana kwenye Mikutano ya Tundu Lisu Kesho

Taarifa imetolewa ukurasani X

Mlale unono 😀
Kwahyo sisi wa kaskazini na mashariki, tutaenda kwa nanii
 
Yuko na Mungu 😀
Mungu wake mbona kamuacha kinyonge nyonge sana. Yan anapambana kinyonge sana..
Laiti kama zile nondo zake zingekua zinaambatana na mziki mnene plis yale majukwaa ya jui ya scania na msafara wa wasanii, na migao ya tishirt za chama na kofia, hakyanani zile hoja zingewaingia sana watanzania ,maana ni nzito mnooo. Ingeleta inoact sana

Sema mazingira yanamuangusha sana Lissu
 
Mikutano ya Ukombozi Watu wanafata Neno siyo swagger na mbwembwe 😀
 
Mwenyekiti wa Bavicha John Pambalu ametoa taarifa kuwa Kesho anaelekea Singida Kuungana na Makamu mwenyekiti mh Tundu Lisu

Pambalu na Timu yake wataanza kuonekana kwenye Mikutano ya Tundu Lisu Kesho

Taarifa imetolewa ukurasani X

Mlale unono 😀
Martini Maranja na Boni Yai wao wanamsubiri Mbowe
 
Ila Lissu ni kama anapambana man alone sana, ndio kusema cdm imemtosa au wjat is going on? Au ni project yake binafsi??
Maana hata majukwaa yake ya kupigia kazi yamekaa kinyonhe nyongeeee kama muhubiri wa kilokoleee
Lissu ni jeshi kubwa sana asee.
 
Back
Top Bottom