Mwenyekiti wa BAVICHA, John Pambalu akataa Unyonge, aelekea Singida na Timu yake kuunganisha Nguvu kwa Tundu Lissu!

Mwenyekiti wa BAVICHA, John Pambalu akataa Unyonge, aelekea Singida na Timu yake kuunganisha Nguvu kwa Tundu Lissu!

Ila Lissu ni kama anapambana man alone sana, ndio kusema cdm imemtosa au wjat is going on? Au ni project yake binafsi??
Maana hata majukwaa yake ya kupigia kazi yamekaa kinyonhe nyongeeee kama muhubiri wa kilokoleee
20240606_133022.jpg

Mwenyekiti kazuia machawa wake kumpigia promo.
 
Mwenyekiti wa Bavicha John Pambalu ametoa taarifa kuwa Kesho anaelekea Singida Kuungana na Makamu mwenyekiti mh Tundu Lissu

Pambalu na Timu yake wataanza kuonekana kwenye Mikutano ya Tundu Lissu Kesho Juni 10

Taarifa imetolewa ukurasani X

Mlale unono 😀
Bwasheh wanao hao najuwa unawakubali sana

Ova
 
Toka Dr Slaa alivyoondoka chadema sina raha chadema naipenda kwa kujilazimisha...
 
Mwenyekiti wa Bavicha John Pambalu ametoa taarifa kuwa Kesho anaelekea Singida Kuungana na Makamu mwenyekiti mh Tundu Lissu

Pambalu na Timu yake wataanza kuonekana kwenye Mikutano ya Tundu Lissu Kesho Juni 10

Taarifa imetolewa ukurasani X

Mlale unono 😀
Jambo jema sn
 
Sahihi mikutano yenyewe analazimisha pesa za kuandaa mkutano hatoi ila za kusafiri na kulala mahotelini anazo

..mikutano inaandaliwa na wananchi wenyewe.

..Na hayo majukwaa ni taswira ya hali ya kiuchumi ya wananchi huko vijijini.
 
Back
Top Bottom