johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
πππTunawakaribisha!! Mpaka msaliti aachie ngazi ili Taifa likombolewe.
Muhimu awe Mwangalifu make yule mchaga ni hatari mnoo!!
Naona wameamua kuweka kambi porini mjini wamepuuzwa!Mwenyekiti wa Bavicha John Pambalu ametoa taarifa kuwa Kesho anaelekea Singida Kuungana na Makamu mwenyekiti mh Tundu Lisu
Pambalu na Timu yake wataanza kuonekana kwenye Mikutano ya Tundu Lisu Kesho
Taarifa imetolewa ukurasani X
Mlale unono π
Acha ujinga, mchaga Gani?Tunawakaribisha!! Mpaka msaliti aachie ngazi ili Taifa likombolewe.
Muhimu awe Mwangalifu make yule mchaga ni hatari mnoo!!
CCM hatunaga mbwembwe πΌZiara za Sisiemu zimefunikwa ...macho yote Singida
Yuko na Mungu πIla Lissu ni kama anapambana man alone sana, ndio kusema cdm imemtosa au wjat is going on? Au ni project yake binafsi??
Maana hata majukwaa yake ya kupigia kazi yamekaa kinyonhe nyongeeee kama muhubiri wa kilokoleee
Kwahyo sisi wa kaskazini na mashariki, tutaenda kwa naniiMwenyekiti wa Bavicha John Pambalu ametoa taarifa kuwa Kesho anaelekea Singida Kuungana na Makamu mwenyekiti mh Tundu Lisu
Pambalu na Timu yake wataanza kuonekana kwenye Mikutano ya Tundu Lisu Kesho
Taarifa imetolewa ukurasani X
Mlale unono π
Mungu wake mbona kamuacha kinyonge nyonge sana. Yan anapambana kinyonge sana..Yuko na Mungu π
Nyie nendeni kwa Bilionea BoniYai πKwahyo sisi wa kaskazini na mashariki, tutaenda kwa nanii
Mikutano ya Ukombozi Watu wanafata Neno siyo swagger na mbwembwe πMungu wake mbona kamuacha kinyonge nyonge sana. Yan anapambana kinyonge sana..
Laiti kama zile nondo zake zingekua zinaambatana na mziki mnene plis yale majukwaa ya jui ya scania na msafara wa wasanii, na migao ya tishirt za chama na kofia, hakyanani zile hoja zingewaingia sana watanzania ,maana ni nzito mnooo. Ingeleta inoact sana
Sema mazingira yanamuangusha sana Lissu
Ndio nani huyoNyie nendeni kwa Bilionea BoniYai π
Huyo ni timu Mbowe,hawezi kuungana na mpinzani wao kwenye chamaNdio nani huyo
Martini Maranja na Boni Yai wao wanamsubiri MboweMwenyekiti wa Bavicha John Pambalu ametoa taarifa kuwa Kesho anaelekea Singida Kuungana na Makamu mwenyekiti mh Tundu Lisu
Pambalu na Timu yake wataanza kuonekana kwenye Mikutano ya Tundu Lisu Kesho
Taarifa imetolewa ukurasani X
Mlale unono π
Wamenuna πΌMartini Maranja na Boni Yai wao wanamsubiri Mbowe
Lissu ni jeshi kubwa sana asee.Ila Lissu ni kama anapambana man alone sana, ndio kusema cdm imemtosa au wjat is going on? Au ni project yake binafsi??
Maana hata majukwaa yake ya kupigia kazi yamekaa kinyonhe nyongeeee kama muhubiri wa kilokoleee