johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #21
Tindo unaitwa hukuHuyu pesa za kuweka bango kama hili la Billbod ametowa wapi?
johnthebaptist unaitwa huku njoo ujibu πHuyu pesa za kuweka bango kama hili la Billbod ametowa wapi?
Kukemea rushwa ni tatizo?Rushwa
Swali gumu Sana bwashee ukizingatia Pambalu ni mwalimu tu kama ndugu yetu Lucas ππjohnthebaptist unaitwa huku njoo ujibu π
Unakemea ukiwa kwenye Bango la mamilioni ππππ₯π₯Kukemea rushwa ni tatizo?
Yes, why not?Wewe ulimuamini Lema? πΌ
Kama ametengeneza kwa pesa ake tatizo ni nini?Unakemea ukiwa kwenye Bango la mamilioni ππππ₯π₯
Wewe, Freeman na Godbless nyote ni Machame Boys ngoja tumuulize Mchungaji Msigwa πYes, why not?
Utasubiri sana.Hatimaye Mwenyekiti wa BAVICHA mh John Pambalu ametangaza rasmi kuwa yuko Kambi ya makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu
Pambalu amesema anaunga mkono Juhudi zote za Tundu Antipas Lisu kupambana na Rushwa ndani ya Chadema
Source: Nipashe Digital
My take; Tunywe mtori nyama tutazikuta chini ππ
Lucas ni PS na siyo mwalimuSwali gumu Sana bwashee ukizingatia Pambalu ni mwalimu tu kama ndugu yetu Lucas ππ
Mwalimu yule hela ya Bango anapata Wapi au Posho za maandamano? πππ₯Kama ametengeneza kwa pesa ake tatizo ni nini?
okey, good...Lisu hajaomba Mchango kwa yoyote bwashee
Ile michango ni movement ya Bint Sarungi kule twitter au X ndio unaona Hata CCM wanachangia π
Umeanza ukabila wako mjinga weweWewe, Freeman na Godbless nyote ni Machame Boys ngoja tumuulize Mchungaji Msigwa π
sawa, muulize ulete mrejesho with evidence. In passing, sina even remotely vinasaba vya uchaga! Naiunga mkono chadema kwa vile inatetea maslahi ya nchi hii kutoka rohoni. Wanaweza kuwa na mapungufu lkn siyo kama ya CCM!Wewe, Freeman na Godbless nyote ni Machame Boys ngoja tumuulize Mchungaji Msigwa π
Jamaa anafunga, analima ni mjasiriamali, kuwa mwalimu siyo tiketi ya kuwa masikini, Heche, Boniyai, Majaliwa wote ni walimu mbonaMwalimu yule hela ya Bango anapata Wapi au Posho za maandamano? πππ₯
Mchochezi mkubwa weweHatimaye Mwenyekiti wa BAVICHA mh John Pambalu ametangaza rasmi kuwa yuko Kambi ya makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu
Pambalu amesema anaunga mkono Juhudi zote za Tundu Antipas Lisu kupambana na Rushwa ndani ya Chadema
Source: Nipashe Digital
My take; Tunywe mtori nyama tutazikuta chini ππ
Hakuna anayeiombea kifo Chadema ila tunampongeza huyo Msukuma John Magufuli or sorry John Pambalu ππππ₯πΉUtasubiri sana.
Hata Wasira naye alisema CHADEMA itakufa kabla ya 2018. Inaonekana wazi yeye anaelekea pabaya kuliko CHADEMA na ataondoka ataiacha CHADEMA
AddJamaa anafunga, analima ni mjasiriamali, kuwa mwalimu siyo tiketi ya kuwa masikini, Heche, Boniyai, Majaliwa wote ni walimu mbona
Jo ndiye anamlisha maneno,wewe humjui Jo ni mzee wa fitna,mkuda sana.Haka ka pambalu kameanza kuyakoroga. Shauri yake.
Kwahiyo Chadema ni chama cha walimu Prof Kitila, Mwita Waitara, Easter MatikoJamaa anafunga, analima ni mjasiriamali, kuwa mwalimu siyo tiketi ya kuwa masikini, Heche, Boniyai, Majaliwa wote ni walimu mbona