Pre GE2025 Mwenyekiti wa BAVICHA John Pambalu asema yuko upande wa Lissu kupinga fedha chafu zilizoingizwa na mahasimu kuvuruga Uchaguzi

Pre GE2025 Mwenyekiti wa BAVICHA John Pambalu asema yuko upande wa Lissu kupinga fedha chafu zilizoingizwa na mahasimu kuvuruga Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hatimaye Mwenyekiti wa BAVICHA mh John Pambalu ametangaza rasmi kuwa yuko Kambi ya makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu

Pambalu amesema anaunga mkono Juhudi zote za Tundu Antipas Lisu kupambana na Rushwa ndani ya Chadema

Source: Nipashe Digital

My take; Tunywe mtori nyama tutazikuta chini 😂😂
Utasubiri sana.
Hata Wasira naye alisema CHADEMA itakufa kabla ya 2018. Inaonekana wazi yeye anaelekea pabaya kuliko CHADEMA na ataondoka ataiacha CHADEMA
 
Lisu hajaomba Mchango kwa yoyote bwashee

Ile michango ni movement ya Bint Sarungi kule twitter au X ndio unaona Hata CCM wanachangia 😂
okey, good...
that's right......

so,
mgawanyiko wa wana chadema kuhusu michango, umeletwa na huyo mumama na ni nje ya chadema right?

na kwahiyo lisu ameomba achangiwe ya kutengeneza gari peke yake right?

na mchango utaanza lini? :DisGonBGud:
 
Wewe, Freeman na Godbless nyote ni Machame Boys ngoja tumuulize Mchungaji Msigwa 😂
sawa, muulize ulete mrejesho with evidence. In passing, sina even remotely vinasaba vya uchaga! Naiunga mkono chadema kwa vile inatetea maslahi ya nchi hii kutoka rohoni. Wanaweza kuwa na mapungufu lkn siyo kama ya CCM!
 
Hatimaye Mwenyekiti wa BAVICHA mh John Pambalu ametangaza rasmi kuwa yuko Kambi ya makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu

Pambalu amesema anaunga mkono Juhudi zote za Tundu Antipas Lisu kupambana na Rushwa ndani ya Chadema

Source: Nipashe Digital

My take; Tunywe mtori nyama tutazikuta chini 😂😂
Mchochezi mkubwa wewe
 
Utasubiri sana.
Hata Wasira naye alisema CHADEMA itakufa kabla ya 2018. Inaonekana wazi yeye anaelekea pabaya kuliko CHADEMA na ataondoka ataiacha CHADEMA
Hakuna anayeiombea kifo Chadema ila tunampongeza huyo Msukuma John Magufuli or sorry John Pambalu 😂😂😂🔥🌹
 
Back
Top Bottom