TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,930
- 19,156
Yaani hiki kikosi cha Samia cha wafi*raji na wauaji limeanza tena yale matendo yao ya kihalifu.Ndugu Temba Gaspar Erasmus mwenyekiti Wa BAVICHA Kanda ya Kaskazini Adaiwa Kutekwa na Watu wasiojulikana akiwa anatoka kwenye moja ya Benki jijini Arusha.
Taarifa zaidi kukujia
View attachment 3458775
View attachment 3458793
Vijana wa Rostam Aziz na Kikwete mnaoteka watu, tafadhali turudishieni mtu wetu tena haraka sana.Ndugu Temba Gaspar Erasmus mwenyekiti Wa BAVICHA Kanda ya Kaskazini Adaiwa Kutekwa na Watu wasiojulikana akiwa anatoka kwenye moja ya Benki jijini Arusha.
Taarifa zaidi kukujia
View attachment 3458775
View attachment 3458793
View attachment 3458881
Steve Nyerere na wenzako chawa wa Mama Abdul, tunawapa mpaka asubuhi saa tatu huyu jamaa awe kishapatikana, Tusije kuelewana vibaya nasema.Ndugu Temba Gaspar Erasmus mwenyekiti Wa BAVICHA Kanda ya Kaskazini Adaiwa Kutekwa na Watu wasiojulikana akiwa anatoka kwenye moja ya Benki jijini Arusha.
Taarifa zaidi kukujia
View attachment 3458775
View attachment 3458793
View attachment 3458881
Hawa polisi chawa wasiojitambua na wasiojua majukumu yao ni yapi ndiyo tuamini matamko yao? Pathetic. Matukio makubwa na ya kinyama ambayo huwa wanahusishwa huwa wanayakalia kimya lakini jambo la kutia aibu kwa jeshi la polisi petty crimes huwa wanaitisha press conferences na kuhakikisha inakuwa special coverage wauze sura na kuwafurahisha 'mabwana' zao.Usiseme hivyo polisi TZ wamekanusha