Mwenyekiti wa BAVICHA Kilimanjaro aliyeshikiliwa kituo kikuu cha Polisi Moshi asafirishwa kuelekea Dar es Salaam

Mwenyekiti wa BAVICHA Kilimanjaro aliyeshikiliwa kituo kikuu cha Polisi Moshi asafirishwa kuelekea Dar es Salaam

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
FB_IMG_1589458714124.jpg
 
Yaani hata habari ndogo za bavicha unatuletea hapa, kweli mzee umeishiwa source kabisa
 
Sisi hatuwezi kuandamana wakati ruzuku anakula Mbowe na Lissu tu

Huu ndo wakati wa CHADEMA kutoka huko mafichoni na kuanza kupiga jaramba mdogo mdogo.

Hawa jamaa wakiachiwa uwanja patakucha kwa kweli.
 
Hawawezi kuiua CDM hivi karibuni kama wanavyodhani ikiwa bado inawatesa namna hii, sasa ni dhahiri CCM hawalali CDM inawafanya wakeshe.

Vyema wakumbuke hao wanaowatesa namna hiyo kila siku ni watoto wa watanzania wenzao, na hii nchi sio ya kikundi cha watu fulani, ni yetu sote.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini apige picha gari ya DG wa Tiss? Alikuwa na mpango gani? Chadema wanamakundi ya magaidi.
 
Hawawezi kuiua CDM hivi karibuni kama wanavyodhani ikiwa bado inawatesa namna hii, sasa ni dhahiri CCM hawalali CDM inawafanya wakeshe.

Vyema wakumbuke hao wanaowatesa namna hiyo kila siku ni watoto wa watanzania wenzao, na hii nchi sio ya kikundi cha watu fulani, ni yetu sote.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia inakufa October mkuu!
 
Back
Top Bottom