Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
😆😅😂 Huyu dogo hajitambui?Kuna watu wametengeneza perdiem tu hapo, dah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😆😅😂 Huyu dogo hajitambui?Kuna watu wametengeneza perdiem tu hapo, dah
Nani?😆😅😂 Huyu dogo hajitambui?
Uzuri TISS ukiwachokonoa huwa hawana haraka ni mwendo mdogomdogoKwa nini apige picha gari ya DG wa Tiss? Alikuwa na mpango gani? Chadema wanamakundi ya magaidi.
Huyo aliyepiga picha gari ya DG wa tiss.Nani?
Huyu naye sijui ana akili za aina gani...unapiga picha gari ya TISS kwa lengo lipi?!
OkHuyo aliyepiga picha gari ya DG wa tiss.
Kwanini anapiga picha gari la mkuu wa usalama wa Taifa?dhumuni lake ni nini?
una uchungu sana wewe [emoji23][emoji23] jikinge na Corona uendelee kuona mengi hisia hazitakusaidiaHawawezi kuiua CDM hivi karibuni kama wanavyodhani ikiwa bado inawatesa namna hii, sasa ni dhahiri CCM hawalali CDM inawafanya wakeshe.
Vyema wakumbuke hao wanaowatesa namna hiyo kila siku ni watoto wa watanzania wenzao, na hii nchi sio ya kikundi cha watu fulani, ni yetu sote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ndio mbinu yao ya sasaWasije muwekea madawa ya kulevya tu.
Kwanini anapiga picha gari la mkuu wa usalama wa Taifa?dhumuni lake ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
chadema vijana hawajitambui😆😅😂 Huyu dogo hajitambui?
Mtu na akili zako timamu kabisa unapiga picha gari ya Tiss ,nani kakutuma kama si uwendawazim nin! Hivi vyama sijui havifundishi maadili kwa vijana wao! Huyo ahojiwe effectively.Uzuri TISS ukiwachokonoa huwa hawana haraka ni mwendo mdogomdogo
Hapo bado hajakutana na wenyewe wanaojua mahojiano hao waliomhoji ni receptionst tu wa polisi wakaa counter mziki wenyewe bado mbichi kabisa
atajieleza kilichomsukuma apige kituo cha jeshi cha TISS SABABU ALIPO MKUU TISS ni kituo cha kijeshi na vyote alivyonavyo ni vifaa vya kijeshi ikiwemo magari nk kwa nini hakupiga miti ya upareni au mawe ya upareni nini kilimsukuma apige mahali alikuwa mkuu wa TISS na Alivyonavyo nk
Nadhani kama hajawahi fika Dar atafurahi kufika ila akiondoka Dar baada ya mahojiano hata asipochukuliwa hatua zozote akaachwa arudi upareni hata arudishwe kwa ndege yake binafsi haji kurudi Dar tena na akisikia watu wanataja dar lazima wazimu umpande kwa kuweweseka
NAONA NA WEWE UNASOGEA SOGEAHiyo ndio mbinu yao ya sasa
WEWE unalijua nani alikuonyesha? mimi silijui hata linafananajeJamani!
Picha ya gari linalopita barabarani ambalo linajulikana na watu woote !
Sent using Jamii Forums mobile app
Imewekeza kuuwa upinzani kuliko kuuwa umasikiniAwamu hii imelaaniwa!
Sio kosa lao wasipotenda ufukuzwa kazi.Kazi ya polisi ni kutii maagizo ya wanasiasa uruhusiwi kuhoji au kupinga.Viongozi dhaifu utumia polisi kujibu hojaPolisi wakibongo wana mambo ya kitoto sana