Mwenyekiti wa BAVICHA Kilimanjaro aliyeshikiliwa kituo kikuu cha Polisi Moshi asafirishwa kuelekea Dar es Salaam

Yaani hata habari ndogo za bavicha unatuletea hapa, kweli mzee umeishiwa source kabisa
 
Sisi hatuwezi kuandamana wakati ruzuku anakula Mbowe na Lissu tu

Huu ndo wakati wa CHADEMA kutoka huko mafichoni na kuanza kupiga jaramba mdogo mdogo.

Hawa jamaa wakiachiwa uwanja patakucha kwa kweli.
 
Kwa nini apige picha gari ya DG wa Tiss? Alikuwa na mpango gani? Chadema wanamakundi ya magaidi.
 
Nasikia inakufa October mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…