johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Chadema ni Mdebwedo haswa πΌWanajuana wapo kwenye maigizo
Hivi Wenje alikuwa Mbunge wa Rombo au Vunjo nimesahau kidogo πNchi imesisimama!!
Juma Lokole wa JF katika moja na mbili zako.Mwenyekiti wa Bavicha Wakili Msomi Mahinyila amejikuta akipigwa Tanganyika Jeki na Kikosi cha Ulinzi wa Chadema kinachojulikana kama HAMASA
Ikumbukwe hayati Mohamed Kibao ndio alikuwa mkuu wa Kikosi hiki
Wakili Msomi Mahinyila alikuwa ameongozana na Mh Tundu Lisu wakiingia Kwenye Mkutano wa Bawacha Kwa mujibu wa Nafasi zao za Uongozi
Mjumbe wa kamati Kuu ya Chadema Mh Shija amemtaka Katibu mkuu Mh John Mnyika kulitolea Ufafanuzi wa haraka jambo hili
Ahsanteni sana
Kule Tanga Mrema wa Nccr Mageuzi alikatwa mtama mkutanoni ππ
Mbowe ndiyo muhuniChadema ni wahuni
Na walafi kila mmoja anaona mwezake ana faidiChadema ni Mdebwedo haswa πΌ
hata hivyo,Mwenyekiti wa Bavicha Wakili Msomi Mahinyila amejikuta akipigwa Tanganyika Jeki na Kikosi cha Ulinzi wa Chadema kinachojulikana kama HAMASA
Ikumbukwe hayati Mohamed Kibao ndio alikuwa mkuu wa Kikosi hiki
Wakili Msomi Mahinyila alikuwa ameongozana na Mh Tundu Lisu wakiingia Kwenye Mkutano wa Bawacha Kwa mujibu wa Nafasi zao za Uongozi
Mjumbe wa kamati Kuu ya Chadema Mh Shija amemtaka Katibu mkuu Mh John Mnyika kulitolea Ufafanuzi wa haraka jambo hili
Ahsanteni sana
Kule Tanga Mrema wa Nccr Mageuzi alikatwa mtama mkutanoni ππ
Bado hujasema dadeki πΌπJuma Lokole wa JF katika moja na mbili zako.
Picha iko wapi?Mwenyekiti wa Bavicha Wakili Msomi Mahinyila amejikuta akipigwa Tanganyika Jeki na Kikosi cha Ulinzi wa Chadema kinachojulikana kama HAMASA
Ikumbukwe hayati Mohamed Kibao ndio alikuwa mkuu wa Kikosi hiki
Wakili Msomi Mahinyila alikuwa ameongozana na Mh Tundu Lisu wakiingia Kwenye Mkutano wa Bawacha Kwa mujibu wa Nafasi zao za Uongozi
Mjumbe wa kamati Kuu ya Chadema Mh Shija amemtaka Katibu mkuu Mh John Mnyika kulitolea Ufafanuzi wa haraka jambo hili
Ahsanteni sana
Kule Tanga Mrema wa Nccr Mageuzi alikatwa mtama mkutanoni ππ
Usiwage Mjinga Wewe ππhata hivyo,
huna kadi ya mualiko, unakwenda wapi kwa mfano kwenye jambo muhimu kama uchaguzi ndrugo zango?
Msibani kwa magufuli pale Jamuhuri Dodoma Paul Makonda aliwahi kuzuiliwa kuingia geti na jukwaa kuu kwasabb hakuwemo kwenye listi ya waliostahili kupitia na kukaa huko.
Tupunguze vimbelembele vijana japo jambo ni la kawaida π
CCM ni wapumbavu sanaChadema ni wahuni
πMbowe ndiyo muhuni
Picha atoe wapi huyo chaumbea?Picha iko wapi?
Yes wahuni kama wewe tuChadema ni wahuni
Ya Tanganyika Jeki πππWeka picha, la sivyo ni uzabazabina.
Mbowe anafanya fujo anatumia kikundi chake kuudhofisha kambi ya Lisu kuna maigizo hapo? Wanajuana na nani?Wanajuana wapo kwenye maigizo