johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mwenyekiti wa Bavicha Wakili Msomi Mahinyila amejikuta akipigwa Tanganyika Jeki na Kikosi cha Ulinzi wa Chadema kinachojulikana kama HAMASA
Ikumbukwe hayati Mohamed Kibao ndio alikuwa mkuu wa Kikosi hiki
Wakili Msomi Mahinyila alikuwa ameongozana na Mh Tundu Lissu wakiingia Kwenye Mkutano wa Bawacha Kwa mujibu wa Nafasi zao za Uongozi
Mjumbe wa kamati Kuu ya Chadema Mh Shija amemtaka Katibu mkuu Mh John Mnyika kulitolea Ufafanuzi wa haraka jambo hili
Ahsanteni sana
Kule Tanga Mrema wa Nccr Mageuzi alikatwa mtama mkutanoni 😂😂