Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kama ushahidi unao unashindwa nini kwenda kuisaidia polisi ili wamfikishe mahakamani?Anataka udiwani kwa kumuua kinyama mgombea mwingine wa udiwani kupitia chama kingine! Ushahidi ulionyesha hivyo na jeshi la polisi lilitangaza sehemu ya huo ushahidi. Ikumbukwe mauaji hayo yalifanyika kinyama na hivyo kuvuta hisia za watu wengi.
Kama hakuhusika asubiri mahakama itamuweka huru.
Uonevu kama walivyoonewa hawa bila kuwafikisha mahakamani. Wanaweza kuwa na makosa lkn wafikishe mahakamani haki itendeke au ionekane imetendeka maana mahakama za Ibrahim ni Kangaroo courtsView attachment 1713955
Huyu kijana aliponzwa na ndoto yake ya kugombea Udiwani , kosa lake hilo la kutumia haki yake ya kikatiba la kugombea udiwani limemsababishia kutengenezewa kesi ya Mauaji , ambapo baada ya kukamatwa kama maagizo yalivyoelekeza mgombea udiwani wa ccm kwa kasi ya radi akashinda bila ya kupingwa .
Nachukua nafasi hii kuipa pole familia yake pamoja na wanachadema wote wa Njombe na namuomba Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema kuwabariki watu wote walio magerezani kwa kesi za uongo na namuomba aingilie kati .
Mungu ibariki Chadema
Acha kuwa na roho nyeusi hivyo elewa huyu ni suspect na hajatiwa hatiani na mahakama na yupo innocent,kuwekwa mahabusi ni kumnyima hakiyake ila kwa sababu tunaishi ndani ya pithole country wewe unaona ni sawa maana umejaa ubinafsi na la kusikitisha zaidi bado unakwenda nyumba za ibada wakati umejaa ushetani mkubwa,tuhuma zote zinatakiwa ziwe na dhamana sio ushenzi huu ndani ya nchi yetu.ipo siku generation inayojitambua itabadilisha haya na watanzania wataishi kwa kufuata katiba ya nchi na sio mpangaji mkuu wa pale magogoni.Anataka udiwani kwa kumuua kinyama mgombea mwingine wa udiwani kupitia chama kingine! Ushahidi ulionyesha hivyo na jeshi la polisi lilitangaza sehemu ya huo ushahidi. Ikumbukwe mauaji hayo yalifanyika kinyama na hivyo kuvuta hisia za watu wengi.
Kama hakuhusika asubiri mahakama itamuweka huru.
Generation inayojitambua ndiyo imeipa mandate serikali iliyopo, acheni ndoto.Acha kuwa na roho nyeusi hivyo elewa huyu ni suspect na hajatiwa hatiani na mahakama na yupo innocent,kuwekwa mahabusi ni kumnyima hakiyake ila kwa sababu tunaishi ndani ya pithole country wewe unaona ni sawa maana umejaa ubinafsi na la kusikitisha zaidi bado unakwenda nyumba za ibada wakati umejaa ushetani mkubwa,tuhuma zote zinatakiwa ziwe na dhamana sio ushenzi huu ndani ya nchi yetu.ipo siku generation inayojitambua itabadilisha haya na watanzania wataishi kwa kufuata katiba ya nchi na sio mpangaji mkuu wa pale magogoni.
Mungu hataniwi , zamu yako inakujaAnataka udiwani kwa kumuua kinyama mgombea mwingine wa udiwani kupitia chama kingine! Ushahidi ulionyesha hivyo na jeshi la polisi lilitangaza sehemu ya huo ushahidi. Ikumbukwe mauaji hayo yalifanyika kinyama na hivyo kuvuta hisia za watu wengi.
Kama hakuhusika asubiri mahakama itamuweka huru.
Mandate ipi ikiwa Magufuli anatamka hadharani kwamba wabunge na madiwani wa ccm hawakushinda ?Generation inayojitambua ndiyo imeipa mandate serikali iliyopo, acheni ndoto.
Watuhumiwa wote wa mauaji wako mahabusu wakati kesi inaendelea. Kwa hiyo huyo aachiwe sababu ni mgombea wa CHADEMA?
Nenda Tunduma ukajionee unyama uliofanyika , labda nikuambie kitu , Mungu hajawahi kuwa mjingaKwasababu ni Chadema basi aachwe.
Wanachedema wote waliofanya makosa ya jinai waachiwe maramoja.