Pre GE2025 Mwenyekiti wa BAVICHA: Uchaguzi umekuwa ni bomba la kuua vijana, hatutaruhusu Uchaguzi ufanyike

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Akiwa anazungumza leo huko Singida, Mwenyekiti wa Vijana CHADEMA, Deogratius Mahinyila amesema kuwa vijana wa CHADEMA watahakikisha Uchaguzi wa mwaka huu haufanyiki

Mahinyila amesema kuwa mara kwa mara vijana wamekuwa wakiuliwa kipindi cha Uchaguzi, ikiwemo kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na hivyo bila mabadiliko katika chaguzi watahakikisha Uchaguzi wa mwaka huu hautafanyika

Mwenye masikio na ayasikie haya Deogratius Mahinyila anayo waambia watanzania.
 
Wakuu,

Akiwa anazungumza leo huko Singida, Mwenyekiti wa Vijana CHADEMA, Deogratius Mahinyila amesema kuwa vijana wa CHADEMA watahakikisha Uchaguzi wa mwaka huu haufanyiki

Mahinyila amesema kuwa mara kwa mara vijana wamekuwa wakiuliwa kipindi cha Uchaguzi, ikiwemo kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na hivyo bila mabadiliko katika chaguzi watahakikisha Uchaguzi wa mwaka huu hautafanyika

Kazi imeanza, aangalie tu wasije mzingira
 
Wakuu,

Akiwa anazungumza leo huko Singida, Mwenyekiti wa Vijana CHADEMA, Deogratius Mahinyila amesema kuwa vijana wa CHADEMA watahakikisha Uchaguzi wa mwaka huu haufanyiki

Mahinyila amesema kuwa mara kwa mara vijana wamekuwa wakiuliwa kipindi cha Uchaguzi, ikiwemo kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na hivyo bila mabadiliko katika chaguzi watahakikisha Uchaguzi wa mwaka huu hautafanyika

Jaribu kuzuia uchaguzi utakiona chamoto
 
Ni porojo tu za kwenye majukwaa. Ana nini cha kufanya ili kuhakikisha uchaguzi haufanyiki? Mwenyekiti wa taifa mropokaji, Mwenyekiti wa vijana mropokaji, kwa hiyo kombi tutasikia mengi mwaka huu.
 
Kumbe na wewe ni mwendawazimu??
 
Kauli za mjinga. Wananchi wakiamua kuzuia uchaguzi, hawawezi kushindwa.
Yeah, tatizo wananchi wameamua vinginevyo......wao wapo pamoja na mama Samia, The Mother of Modern Tanzania. Watashiriki uchaguzi na watampa ushindi wa 98%. Nyie wapumbavu endeleeni kujifariji na kauli zenu za kilafa huko.
 
Wakuu,

Akiwa anazungumza leo huko Singida, Mwenyekiti wa Vijana CHADEMA, Deogratius Mahinyila amesema kuwa vijana wa CHADEMA watahakikisha Uchaguzi wa mwaka huu haufanyiki

Mahinyila amesema kuwa mara kwa mara vijana wamekuwa wakiuliwa kipindi cha Uchaguzi, ikiwemo kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na hivyo bila mabadiliko katika chaguzi watahakikisha Uchaguzi wa mwaka huu hautafanyika

Hii ndio shida ya Mtu kudhani Ana mamlaka na maamuzi ya nchi nzima simply because anavaa skafu
 
Back
Top Bottom