Kazi imeanza, aangalie tu wasije mzingiraWakuu,
Akiwa anazungumza leo huko Singida, Mwenyekiti wa Vijana CHADEMA, Deogratius Mahinyila amesema kuwa vijana wa CHADEMA watahakikisha Uchaguzi wa mwaka huu haufanyiki
Mahinyila amesema kuwa mara kwa mara vijana wamekuwa wakiuliwa kipindi cha Uchaguzi, ikiwemo kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na hivyo bila mabadiliko katika chaguzi watahakikisha Uchaguzi wa mwaka huu hautafanyika
Jaribu kuzuia uchaguzi utakiona chamotoWakuu,
Akiwa anazungumza leo huko Singida, Mwenyekiti wa Vijana CHADEMA, Deogratius Mahinyila amesema kuwa vijana wa CHADEMA watahakikisha Uchaguzi wa mwaka huu haufanyiki
Mahinyila amesema kuwa mara kwa mara vijana wamekuwa wakiuliwa kipindi cha Uchaguzi, ikiwemo kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na hivyo bila mabadiliko katika chaguzi watahakikisha Uchaguzi wa mwaka huu hautafanyika
Usitutishe!!!Jaribu kuzuia uchaguzi utakiona chamoto
Utaona kwa jicho gani ?Mamamamamamamae zao, wazuie tuone!
Jaribu kuzuia uchaguzi utakiona chamoto
Ni porojo tu za kwenye majukwaa. Ana nini cha kufanya ili kuhakikisha uchaguzi haufanyiki? Mwenyekiti wa taifa mropokaji, Mwenyekiti wa vijana mropokaji, kwa hiyo kombi tutasikia mengi mwaka huu.
Nitatumia jicho lako la tatu....si litakuwa zima Hadi siku hiyo, au?Utaona kwa jicho gani ?
Nchi inaongozwa kwa katiba siyo matamko uchaguzi uko palepale ACT tumejiandaaKauli za mjinga. Wananchi wakiamua kuzuia uchaguzi, hawawezi kushindwa.
Yeah, tatizo wananchi wameamua vinginevyo......wao wapo pamoja na mama Samia, The Mother of Modern Tanzania. Watashiriki uchaguzi na watampa ushindi wa 98%. Nyie wapumbavu endeleeni kujifariji na kauli zenu za kilafa huko.Kauli za mjinga. Wananchi wakiamua kuzuia uchaguzi, hawawezi kushindwa.
Kama wewe tu bwashee. Tuko pamoja!Kumbe na wewe ni mwendawazimu??
Hii ndio shida ya Mtu kudhani Ana mamlaka na maamuzi ya nchi nzima simply because anavaa skafuWakuu,
Akiwa anazungumza leo huko Singida, Mwenyekiti wa Vijana CHADEMA, Deogratius Mahinyila amesema kuwa vijana wa CHADEMA watahakikisha Uchaguzi wa mwaka huu haufanyiki
Mahinyila amesema kuwa mara kwa mara vijana wamekuwa wakiuliwa kipindi cha Uchaguzi, ikiwemo kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na hivyo bila mabadiliko katika chaguzi watahakikisha Uchaguzi wa mwaka huu hautafanyika
Bwana usa mzee wa kupigisha shoti chaguzi na kuwekeza kwenye ushiga anajenga nchi yakeKazi imeanza, aangalie tu wasije mzingira