Mwenyekiti wa BAWACHA Temeke ashikiliwa siku 4 bila kuelezwa kosa

Mwenyekiti wa BAWACHA Temeke ashikiliwa siku 4 bila kuelezwa kosa

The Sheriff

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2019
Posts
747
Reaction score
2,112
Jeshi la Polisi linamshikilia Mwenyekiti wa BAWACHA Wilaya ya Temeke, Bi. Neema Mwakipesile kwa zaidi ya siku 4 bila kumueleza kosa lake.

Taarifa ya BAWACHA inaeleza kuwa tangu kushikiliwa kwake, Mwenyekiti huyo amezuiwa kuonana na ndugu zake, viongozi wa chama, n ahata kupelekewa chakula.

E7sQXnWWYAEUIkl.jpg
 
Ukweli ni kwamba, bora upumbavu wa CCM kuliko upumbavu wa Chadema
 
Back
Top Bottom