Jeshi la Polisi linamshikilia Mwenyekiti wa BAWACHA Wilaya ya Temeke, Bi. Neema Mwakipesile kwa zaidi ya siku 4 bila kumueleza kosa lake.
Taarifa ya BAWACHA inaeleza kuwa tangu kushikiliwa kwake, Mwenyekiti huyo amezuiwa kuonana na ndugu zake, viongozi wa chama, n ahata kupelekewa chakula.
Yaani Sukuma gang wameamua kumchafua huyu kwa spidi kali sana , nini nyuma ya pazia , kodi za miamala , kupanda bei ya petrol , mashtaka feki ya ugaidi dhidi ya Mbowe na huyu mwakipesile mama anahujumiwa huku anajiona ongeza Gwajima .