Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Wewe mwanaCCM ni mpuuzi. Ushahidi wa kimazingira upo wazi.Siasa, wekeni ushahidi
Aiseeee !!!Wizi wa Mwigulu hausafishwi kwa kuvaa bendera ya Taifa!
Subiri ushahidi ili tuendelee kuliwa.Ushahidi kwa mahakamaš¤
Basi lete gilasi ya kangaraš¤Subiri ushahidi ili tuendelee kuliw
Ili iweje?Basi lete gilasi ya kangaraš¤
Wewe mwanaCCM ni mpuuzi. Ushahidi wa kimazingira upo wazi.
Ushahidi utapelekwa Mahakamani siyo humu JFJe kuna ushahidi au siasa tu?
Mwigulu Nchemba ni mwizi na tapeli kabisa anajifanya mzalendo kwa kuvaa Bendera ya Taifa pumbavu zake.