Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Mambo yameanza kuchangamka huko CHADEMA.
Akiwa anazungumza leo kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani, Mwenyekiti wa BZECHA ametangaza kwamba kwenye Uchaguzi ujao wa CHADEMA anategemea kuona kwenye zile nafasi sita za juu za kwenye chama basi mwanamke pia anakuwepo
"Tunategemea Uchaguzi ujao, katika nafasi sita za juu kabisa za chama tuwe na wanawake kwa sababu chama hiki ni kikubwa lakini ukiangalia Mwenyekiti, Makamu wenyeviti wote wawili, Katiibu Mkuu na Manaibu wote ni wanaume. Hivyo Mheshimiwa Mwenyekiti hii haileti picha nzuri sana na tunakuomba sana sisi kinamama tunaweza na ndio sababu unaona umati huu hapa"