Pre GE2025 Mwenyekiti wa BAZECHA Susan Lyimo: CHADEMA Mwenyekiti na Makamu Wenyeviti wote ni wanaume. Hii haileti picha nzuri!

Pre GE2025 Mwenyekiti wa BAZECHA Susan Lyimo: CHADEMA Mwenyekiti na Makamu Wenyeviti wote ni wanaume. Hii haileti picha nzuri!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Viongozi wanachaguliwa kwa jinsia,poor you.
Na kwa shangazi yenu huyu si ajabu wanawake tukaendelea kukosa vyeo,eti kisa mwanamke ndo tuongozwe na bogus
 
Awe makini na kauli zake. Unaweza kuongea kwa nia njema ya kuhamasisha wanawake wagombee zaodi nafasi hizo lakini ikatafsiliwa kama anataka kupinga uongozi wa chama chake.
Kwani akimpinga mwenyekiti kuna shida gani? Chadema ni chama cha demokrasia
 
hizi ishu za sujui wanawake hivi wanawake vile zinatakiwa kuigwa stop. bila ya hivo tutaangukia pabaya sana
 
Back
Top Bottom