Akiwa anazungumza leo kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani, Mwenyekiti wa BZECHA ametangaza kwamba kwenye Uchaguzi ujao wa CHADEMA anategemea kuona kwenye zile nafasi sita za juu za kwenye chama basi mwanamke pia anakuwepo
"Tunategemea Uchaguzi ujao, katika nafasi sita za juu kabisa za chama tuwe na wanawake kwa sababu chama hiki ni kikubwa lakini ukiangalia Mwenyekiti, Makamu wenyeviti wote wawili, Katiibu Mkuu na Manaibu wote ni wanaume. Hivyo Mheshimiwa Mwenyekiti hii haileti picha nzuri sana na tunakuomba sana sisi kinamama tunaweza na ndio sababu unaona umati huu hapa"

Ni lini katika kipindi cha miaka 21 ya Mbowe, CHADEMA imewahi kuwa na mwanamke ktk nafasi ya juu? au ni ktk kujaribu kumportray Lissu kama asiyependa kufanya kazi na wanawake?.
Sijawahi kusikia Lissu akisema wanawake wasigombee nafasi za chama!
Akiwa anazungumza leo kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani, Mwenyekiti wa BZECHA ametangaza kwamba kwenye Uchaguzi ujao wa CHADEMA anategemea kuona kwenye zile nafasi sita za juu za kwenye chama basi mwanamke pia anakuwepo
"Tunategemea Uchaguzi ujao, katika nafasi sita za juu kabisa za chama tuwe na wanawake kwa sababu chama hiki ni kikubwa lakini ukiangalia Mwenyekiti, Makamu wenyeviti wote wawili, Katiibu Mkuu na Manaibu wote ni wanaume. Hivyo Mheshimiwa Mwenyekiti hii haileti picha nzuri sana na tunakuomba sana sisi kinamama tunaweza na ndio sababu unaona umati huu hapa"
Akiwa anazungumza leo kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani, Mwenyekiti wa BZECHA ametangaza kwamba kwenye Uchaguzi ujao wa CHADEMA anategemea kuona kwenye zile nafasi sita za juu za kwenye chama basi mwanamke pia anakuwepo
"Tunategemea Uchaguzi ujao, katika nafasi sita za juu kabisa za chama tuwe na wanawake kwa sababu chama hiki ni kikubwa lakini ukiangalia Mwenyekiti, Makamu wenyeviti wote wawili, Katiibu Mkuu na Manaibu wote ni wanaume. Hivyo Mheshimiwa Mwenyekiti hii haileti picha nzuri sana na tunakuomba sana sisi kinamama tunaweza na ndio sababu unaona umati huu hapa"
Kwani nafasi hizo ni za viti maalum? Si ni suala.la kuchukua form na kugombea? Kama wanawake hawajachujua form na kugombea nani wa kumlaumu? Haya mambo mbona hayakuwepo wakati wa Mbowe au Mbowe amewafanyia mambo ya Egonga Baltazaar
Akiwa anazungumza leo kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani, Mwenyekiti wa BZECHA ametangaza kwamba kwenye Uchaguzi ujao wa CHADEMA anategemea kuona kwenye zile nafasi sita za juu za kwenye chama basi mwanamke pia anakuwepo
"Tunategemea Uchaguzi ujao, katika nafasi sita za juu kabisa za chama tuwe na wanawake kwa sababu chama hiki ni kikubwa lakini ukiangalia Mwenyekiti, Makamu wenyeviti wote wawili, Katiibu Mkuu na Manaibu wote ni wanaume. Hivyo Mheshimiwa Mwenyekiti hii haileti picha nzuri sana na tunakuomba sana sisi kinamama tunaweza na ndio sababu unaona umati huu hapa"
Awe makini na kauli zake. Unaweza kuongea kwa nia njema ya kuhamasisha wanawake wagombee zaodi nafasi hizo lakini ikatafsiliwa kama anataka kupinga uongozi wa chama chake.
CDM wawe makini sana, mwenyekiti wa zamani lazima ameacha mapandikizi ya kutosha huko. Wanaweza kuwa na utii kwake kuliko hata chama.