Viongozi wanachaguliwa kwa jinsia,poor you.
Na kwa shangazi yenu huyu si ajabu wanawake tukaendelea kukosa vyeo,eti kisa mwanamke ndo tuongozwe na bogus
Awe makini na kauli zake. Unaweza kuongea kwa nia njema ya kuhamasisha wanawake wagombee zaodi nafasi hizo lakini ikatafsiliwa kama anataka kupinga uongozi wa chama chake.