Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Tuwe wakweli, Simba haina consistence kwenye uchezaji kiasi sisi kama mashabiki wa Simba kea msimu huu tunaishi kwa matumaini zaidi kuliko tunavyopaswa tuishi. Simba inaweza kucheza mpira kwa kiwango cha juu sana katika game A lakini ikaja kucheza mchezo mbovu usio mfanowe kwenye game B. Hili ni tatizo.
Kadhalika, katika kufuatilia kwangu soka, sijaona timu kubwa ikicheza kwa style ya Simba iliyotumia mwaka huu, kwamba kwa msimu mzima Simba haina 1st eleven wala supersub. Mwenyekiti wa Bodi ya Simba, plz chukua hatua au jitafakari. Tuambieni ukweli kuna shida gani hasa. Kama kuna tatizo la kifedha, tuambiwe Ili wanachama/ wapenzi na mashabiki tuchangie. Si ajabu kufanya hivyo.