Mwenyekiti wa Bodi Simba Jitafakari

Mwenyekiti wa Bodi Simba Jitafakari

Yaani tutaumia sana ... Historia inaonyesha UFISADI UKITAMALAKI NA YANGA HUWA INAFANYA VIZURI!
Kwan hujui sahiv wenye nchi, ni wanazi wa Yanga, wanapeleka pesa tu pale.
 
Orlando pirates wanamtaka si wawape tu itakuwa wamepunguza mzigo na mashati yake meupe kila mechi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]
 
Wapi nimezungumzia kushinda au kushindwa? Nimezungumzia style ya uchezaji. Timu inaweza kufungwa au kutoka sare lakini kila mmoja akaipongeza kutokana na jinsi ilivyocheza. Na hili la kutokuwa na kikosi kinachoeleweka je?
Kwenye mashindano ya soka,hakuna kinachoangaliwa ZAIDI ya kushinda au kushindwa
Style ni kitu KIDOGO MNO!Kutokuwa na kikosi
Hilo sio tatizo la Pablo ,ni kwamba wachezaji wengi wa Simba mwaka huu wamekuwa kama Homa ya Vipindi!Aisha hii Timu ameikuta Iko hivo...hadi kucheza Robo Fainal ya Caf Mimi namuona ni Bonge la Kocha
 
Kama nakubaliana
 
Back
Top Bottom