joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Ile siku utaleta fincial statement ya atcl ndio tutaongea vizuriKabla hata vumbi halijatua vizuri, tulikua tunalinganisha JKIA ambao ni Airport ya zamani ktk suala zima la miundombinu ukilinganisha na JNIA ambao ni mpya na wakisasa zaidi, watendaji wakuu wa KQ wanepigilia msumari wa mwisho kwa kusema kwamba JKIA ni hovyo Sana ukilinganisha ni viwanja vingine vya jirani.
Mtendaji mkuu wa KQ amekiri kwamba KQ haina uwezo hata kidogo wa kupambana na ET, na amesema hata Rwanda Air ni bora na inafanya vizuri kuliko KQ. Haya yote tulikua tunawaambia, ila kwasababu wamesema wazungu, ambao kwa wakenya ni sawa na MUNGU, labda sasa watakubali japo inawauma saba.
Wakenya wanaamini sana mzunguAlafu mbona ni mzungu,
Au ndio ile "kenya not yet uhuru" [emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kuhamisha magoli weweIle siku utaleta fincial statement ya atcl ndio tutaongea vizuri
Mnaowaamini wa africa mbna zitto akisema mnapinga[emoji1787][emoji1787]Wakenya wanaamini sana mzungu
Ushauri wangu ungekuwa ni kuhamasisha private sector ijihusishe na hili. Biashara ya aircargo ni complex sana nadhani kwa serikali kujiingiza humo ni kutaka kupata jaka la moyo. Pengine wakati walipo order B787-800 wangeweka option ya combi. Kama ndege zetu zinaoption hiyo, hapo itakuwa poa zaidi lakini kama haina basi tuwaachie sekta binafsi kwani wao wanafahamu zaidi biashara hiyo kuliko serikali.Wajiandae kuwa hovyo zaidi maana soko nono la cargo kutoka Tanzania, muda sio mrefu wanaenda kuliaga rasmi
Hehe umeskia akitaja ATCL ama JNIA Kwenye hio interview?Kabla hata vumbi halijatua vizuri, tulikua tunalinganisha JKIA ambao ni Airport ya zamani ktk suala zima la miundombinu ukilinganisha na JNIA ambao ni mpya na wakisasa zaidi, watendaji wakuu wa KQ wanepigilia msumari wa mwisho kwa kusema kwamba JKIA ni hovyo Sana ukilinganisha ni viwanja vingine vya jirani.
Mtendaji mkuu wa KQ amekiri kwamba KQ haina uwezo hata kidogo wa kupambana na ET, na amesema hata Rwanda Air ni bora na inafanya vizuri kuliko KQ. Haya yote tulikua tunawaambia, ila kwasababu wamesema wazungu, ambao kwa wakenya ni sawa na MUNGU, labda sasa watakubali japo inawauma saba.
Serikali ni nini?unapinga serikali kama watu? Au kama system?Ushauri wangu ungekuwa ni kuhamasisha private sector ijihusishe na hili. Biashara ya aircargo ni complex sana nadhani kwa serikali kujiingiza humo ni kutaka kupata jaka la moyo. Pengine wakati walipo order B787-800 wangeweka option ya combi. Kama ndege zetu zinaoption hiyo, hapo itakuwa poa zaidi lakini kama haina basi tuwaachie sekta binafsi kwani wao wanafahamu zaidi biashara hiyo kuliko serikali.
Hebu tutajie miundombinu ya JNIA ambayo ni ya kisasa.Kabla hata vumbi halijatua vizuri, tulikua tunalinganisha JKIA ambao ni Airport ya zamani ktk suala zima la miundombinu ukilinganisha na JNIA ambao ni mpya na wakisasa zaidi, watendaji wakuu wa KQ wanepigilia msumari wa mwisho kwa kusema kwamba JKIA ni hovyo Sana ukilinganisha ni viwanja vingine vya jirani.
Mtendaji mkuu wa KQ amekiri kwamba KQ haina uwezo hata kidogo wa kupambana na ET, na amesema hata Rwanda Air ni bora na inafanya vizuri kuliko KQ. Haya yote tulikua tunawaambia, ila kwasababu wamesema wazungu, ambao kwa wakenya ni sawa na MUNGU, labda sasa watakubali japo inawauma saba.
Ushauri wangu ungekuwa ni kuhamasisha private sector ijihusishe na hili. Biashara ya aircargo ni complex sana nadhani kwa serikali kujiingiza humo ni kutaka kupata jaka la moyo. Pengine wakati walipo order B787-800 wangeweka Kama ndege zetu wao wanafahamu zaidi biashara hiyo kuliko serikali.
Mtangoja sana, kwenye mizigo, JKIA ilishika nafasi ya pili duniani, sio Afrika, duniani baada ya Rockford Airport, U.S. Kwenye rank ya 'fastest growing cargo airports in the world'.Wajiandae kuwa hovyo zaidi maana soko nono la cargo kutoka Tanzania, muda sio mrefu wanaenda kuliaga rasmi
Inawezekana kuwa wewe hii industry huielewi vizuri na unazungumzia nadharia hivyo sioni haja ya kujibu hoja hiyo.Serikali ni nini?unapinga serikali kama watu? Au kama system?
ATCL ni company kama British Airways, independent company, lazima ifanye assessment ya project yoyote kabla ya kuutekeleza, serikali ni watu kama hao waliopo kwenye private sector.
Sijakuelewa unavyosema serikali haijui biashara ya aviation kama private sector unakua na maana gani?Inawezekana kuwa wewe hii industry huielewi vizuri na unazungumzia nadharia hivyo sioni haja ya kujibu hoja hiyo.
Sikiliza kwa makini, amesema Tanzania imejenga uwanja mpya wa ndege na kufufua shirika lao, au hujasikia?Hehe umeskia akitaja ATCL ama JNIA Kwenye hio interview?
Hebu fanya research ndogo tu halafu utuletee hapa ripoti ya maendeleo ya mashirika hayo. Mfano mzuri ni shirika la Alitalia. Serikali imekuwa ikitafuta mmbiya imekosa na imeamua kuliuza shirika hilo lakini hadi sasa hakuna mnunuzi.Sijakuelewa unavyosema serikali haijui biashara ya aviation kama private sector unakua na maana gani?
Mbona mashirika ya ndege zaidi ya 50% ya mashirika yote duniani yanamilikiwa na serikali,
yaani sijaelewa utaalam wa kuendesha cargo business wanaukosaje ATCL wakati tumewapa ndege 13 waziendeshe na zenyewe zina cargo business japo sio kubwa (au hujui kama ndege za abiria nazo zinabeba mizigo ya kibiashara?)
Tambua atcl na serikali ni vitu viwili tofauti, sasa sijui unamaanisha nn serikali kujiingiza, serikali si imewakopesha ndege tu, na washaanza kulipa.Ushauri wangu ungekuwa ni kuhamasisha private sector ijihusishe na hili. Biashara ya aircargo ni complex sana nadhani kwa serikali kujiingiza humo ni kutaka kupata jaka la moyo. Pengine wakati walipo order B787-800 wangeweka option ya combi. Kama ndege zetu zinaoption hiyo, hapo itakuwa poa zaidi lakini kama haina basi tuwaachie sekta binafsi kwani wao wanafahamu zaidi biashara hiyo kuliko serikali.