joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kabla hata vumbi halijatua vizuri, tulikua tunalinganisha JKIA ambao ni Airport ya zamani ktk suala zima la miundombinu ukilinganisha na JNIA ambao ni mpya na wakisasa zaidi, watendaji wakuu wa KQ wanepigilia msumari wa mwisho kwa kusema kwamba JKIA ni hovyo Sana ukilinganisha ni viwanja vingine vya jirani.
Mtendaji mkuu wa KQ amekiri kwamba KQ haina uwezo hata kidogo wa kupambana na ET, na amesema hata Rwanda Air ni bora na inafanya vizuri kuliko KQ. Haya yote tulikua tunawaambia, ila kwasababu wamesema wazungu, ambao kwa wakenya ni sawa na MUNGU, labda sasa watakubali japo inawauma saba.