Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi, Steven Mguto: Walio tengeneza Tisheti za 'Hatuchezi' hatuwaingilii ila dabi ipo!

Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi, Steven Mguto: Walio tengeneza Tisheti za 'Hatuchezi' hatuwaingilii ila dabi ipo!

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara Steven Mguto amesisitiza kuwa Derby iko pale pale kama ilovyopangwa kuchezwa Juni 15

 
Utopwinyo bana, ati unajipima ubavu na Karia siyo - utanyolewa bila maji.
 
Nyuma mwiko wanazungusha shanga tuu lakini hawana jeuri ya kutokuja uwanjani wenye jeuri ya kusema hatuchezi na mechi isichezwe kweli ni Simba tuu
 
Hahaha yule bwana refa wa ukweli.
Jana naona kwenyw ligi yetu kivyetu vyetu wachezaji wa simba wanatoa fouls refa anapeta tuu, hamna kadi.
Ndio maana wakicheza kimataifa wanaona wanaonewa
Nyie mkicheza kimatafifa mnashinda, aliye waroga Utopolo alicjukuliwa na mafuriko
 
Nyie mkicheza kimatafifa mnashinda, aliye waroga Utopolo alicjukuliwa na mafuriko
Wote kulwa na doto wanabebwa sana so wakidhulumiwa huko caf competitions wala hamna jipya. Dhuluma ipo tuu kwenye hii dunia. Kila mtu na mnyonge wake
 
mna dili na team si tunadili na marefa ubaya ubwera, mrifikili nyie tu ndio wajanja mjini
Ngoja tuone mwisho wake ila msimu huu nadhani utaingia kwenye history ya ligi kama msimu mbovu zaidi
 
Back
Top Bottom