Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hahaha yule bwana refa wa ukweli.ili tucheze, aje mwamuzi aliyechezesha fainali zenj
Naam na huu ndio msimamo wetu mpya,ili tucheze, aje mwamuzi aliyechezesha fainali zenj
Simba msimu huu wanadeka kupitiliza Jana clear penalties 3 ila mwamuzi kapeta anawaogopaHahaha yule bwana refa wa ukweli.
Jana naona kwenyw ligi yetu kivyetu vyetu wachezaji wa simba wanatoa fouls refa anapeta tuu, hamna kadi.
Ndio maana wakicheza kimataifa wanaona wanaonewa
Nyie mkicheza kimatafifa mnashinda, aliye waroga Utopolo alicjukuliwa na mafurikoHahaha yule bwana refa wa ukweli.
Jana naona kwenyw ligi yetu kivyetu vyetu wachezaji wa simba wanatoa fouls refa anapeta tuu, hamna kadi.
Ndio maana wakicheza kimataifa wanaona wanaonewa
mna dili na team si tunadili na marefa ubaya ubwera, mrifikili nyie tu ndio wajanja mjiniSimba msimu huu wanadeka kupitiliza Jana clear penalties 3 ila mwamuzi kapeta anawaogopa
Wote kulwa na doto wanabebwa sana so wakidhulumiwa huko caf competitions wala hamna jipya. Dhuluma ipo tuu kwenye hii dunia. Kila mtu na mnyonge wakeNyie mkicheza kimatafifa mnashinda, aliye waroga Utopolo alicjukuliwa na mafuriko
Ngoja tuone mwisho wake ila msimu huu nadhani utaingia kwenye history ya ligi kama msimu mbovu zaidimna dili na team si tunadili na marefa ubaya ubwera, mrifikili nyie tu ndio wajanja mjini
YANGA ni kubwa kuliko huyo KACHEKA wenuUtopwinyo bana, ati unajipima ubavu na Karia siyo - utanyolewa bila maji.
#ubayqubweteubbweteHii wanachezaa
SimbaSC NguvuMoja
#UbayaUbwela
hii ndo inaitwa mtoto kautaka,tutacheza tuwapatie mnachokitakaHii wanachezaa
SimbaSC NguvuMoja
#UbayaUbwela