Bill JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 10,703 Reaction score 11,816 May 29, 2025 #21 Tulishakubaliana hapa jukwaani uhurumoja said: Simba msimu huu wanadeka kupitiliza Jana clear penalties 3 ila mwamuzi kapeta anawaogopa Click to expand... hakuna penati, ni upendeleo.
Tulishakubaliana hapa jukwaani uhurumoja said: Simba msimu huu wanadeka kupitiliza Jana clear penalties 3 ila mwamuzi kapeta anawaogopa Click to expand... hakuna penati, ni upendeleo.
Buttler Jo JF-Expert Member Joined May 26, 2025 Posts 901 Reaction score 811 May 29, 2025 #22 Mutake Musitake.. #YANGA BINGWA
Manepesa JF-Expert Member Joined Aug 17, 2024 Posts 2,065 Reaction score 3,714 May 29, 2025 #23 uhurumoja said: Simba msimu huu wanadeka kupitiliza Jana clear penalties 3 ila mwamuzi kapeta anawaogopa Click to expand... Misimu mitatu ya kudeka ya uto imetosha...si kudeka kwa zamu...Simba inabid ideke misimu 6 mfululizo...halafu watafata utopolo..huo ndio msimamo wa Mheshimiwa Karia.
uhurumoja said: Simba msimu huu wanadeka kupitiliza Jana clear penalties 3 ila mwamuzi kapeta anawaogopa Click to expand... Misimu mitatu ya kudeka ya uto imetosha...si kudeka kwa zamu...Simba inabid ideke misimu 6 mfululizo...halafu watafata utopolo..huo ndio msimamo wa Mheshimiwa Karia.