andrew tezie
Member
- Jan 25, 2014
- 13
- 2
Hatimae Mh Samuel Sitta amechaguliwa Kuwa m/kiti wa Bunge la Katiba, je utendaji wake utaweza kufanana ule wakati alipokuwa Spika?Sababu hakuweza kutetea nafasi yake kwenye kinyang'anyiro cha awamu ya pili ambapo Mh Makinda alishinda.Nini kipya ambacho unadhani atakuwa nacho wakati alionekana hawezi kuliendesha Bunge la Jamhuri ya Muungano na sasa kwamba amefaa Kuwa M/kiti?