samia must go kwa katiba ya nchi yenu ni uhainiTumeona uwezo mdogo wa ku-engage katika siasa za malumbano ya hoja kati ya wanasiasa wetu. Nafikiri rais Samia mara nyingi hujisahau kuwa yeye pia ni kiongozi wa chama cha siasa kama walivyo wengine.
Mwenyekiti wa CCM mama Samia alipaswa kujibu hoja za wapinzani kwa kutumia hoja za kisiasa na sio kutumia nafasi yake kama amiri jeshi mkuu kujibu hoja za kisiasa.
eti Samia Must go, halafu eti ndio maandamano ya amani 🤣Tumeona uwezo mdogo wa ku-engage katika siasa za malumbano ya hoja kati ya wanasiasa wetu. Nafikiri rais Samia mara nyingi hujisahau kuwa yeye pia ni kiongozi wa chama cha siasa kama walivyo wengine.
Mwenyekiti wa CCM mama Samia alipaswa kujibu hoja za wapinzani kwa kutumia hoja za kisiasa na sio kutumia nafasi yake kama amiri jeshi mkuu kujibu hoja za kisiasa.
Hoja za kisiasa zijibiwe kisiasa sio kijeshi!eti Samia Must go, halafu eti ndio maandamano ya amani 🤣
viongozi wengine bana dah
Usisahau Samia ni mwenyekiti wa CCM.samia must go kwa katiba ya nchi yenu ni uhaini
actually unaweza tafsiri powerful speech ya president kadiri unavyo weza kutafsiri...Hoja za kisiasa zijibiwe kisiasa sio kijeshi!
Amani imetishiwa vipi hapo?actually unaweza tafsiri powerful speech ya president kadiri unavyo weza kutafsiri...
but ukweli unabaki pale pale,
Amer Jeshi Mkuu makini hawezi kupuuza hata kidogo, kitisho cha kuhatarisha umoja, amani na utulivu wa watu wake, hata kiwe dhaifu namna gani na hata kama kimetolewa na wanasiasa, wavuta bangi au walevi dhidi ya wananchi anaowaongoza, Lazima asimame imara, awaonyeshe njia wananchi na kuwahakikishia usalama wao, familia zao, kazi na shughuli zao 🐒
hivyo ndivyo viongozi wenye nguvu zaidi duniani hufanya 🐒
kwahiyo maandamano ya Samia must go ndio amani yenyewe iliyotoshiwa, right ?🤣Amani imetishiwa vipi hapo?
Umeona hayo uloandika yamefanywa na Chadema?kwahiyo maandamano ya Samia must go ndio amani yenyewe iliyotoshiwa, right ?🤣
kwamba mnaandamana na marungu yenu mnapita magogoni mnaimba samia must go, mnavunja geti na mnaingia ikulu kumtoa Dr. Samia halafu vyombo vya ulinzi vinawatazama tu, na kujisemea aah haya ni maandamano ya amani wanaenda kumtoa rais Madarakani 🤣🤣
unaniuliza mimi tena 🤣Umeona hayo uloandika yamefanywa na Chadema?
Kurjuan imejibu na ataropoka sanaTumeona uwezo mdogo wa ku-engage katika siasa za malumbano ya hoja kati ya wanasiasa wetu. Nafikiri rais Samia mara nyingi hujisahau kuwa yeye pia ni kiongozi wa chama cha siasa kama walivyo wengine.
Mwenyekiti wa CCM mama Samia alipaswa kujibu hoja za wapinzani kwa kutumia hoja za kisiasa na sio kutumia nafasi yake kama amiri jeshi mkuu kujibu hoja za kisiasa.