Anajua kigazeti hicho kiko upande upi.Nanukuu
"Wameanza kutuchokoza, Kuandika kwenye vigazeti kuwa Samia hata gombea, nani kasema."
Hapa nadhani mwenyekiti ameteleza maana gazeti lililo andika habari hii ni gazeti la Uhuru linalo milikiwa na Chama cha Mapinduzi. Kuliita gazeti hili kigazeti ni kosa kubwa sana.
Ila kama ndiyo ameamua hivyo sawa.
CCM sio wamoja! Ndani yake ni mapande na mapandikizi ... Yanadukuana na kufitinishanaNanukuu
"Wameanza kutuchokoza, Kuandika kwenye vigazeti kuwa Samia hata gombea, nani kasema."
Hapa nadhani mwenyekiti ameteleza maana gazeti lililo andika habari hii ni gazeti la Uhuru linalo milikiwa na Chama cha Mapinduzi. Kuliita gazeti hili kigazeti ni kosa kubwa sana.
Ila kama ndiyo ameamua hivyo sawa.
Nguvu ya mamba iko kwenye maji, lakini ngoja tuone upepo unaendaje labda wamejipanga kumuengua, time will tell !yani wewe kwa akili zako kbs tangu asubuhi unashinda mtandaoni kushindana na Samia
, huoni kama unakimbiza upepo?
aisee mtu akiishashikilia ikulu kumuangusha ni ngumu sana, wawe wapole tuNguvu ya mamba iko kwenye maji, Humphrey anajidanganya, lakini ngoja tuone upepo unaendaje labda wamejipanga kumuengua, time will tell !
Hapa udogo ni uwongo wa habariSioni kosa.
Kigazeti ni gazeti dogo.
Udogo huenda kwa umri tangu kuanzishwa, idadi ya nakala zinazochapishwa na kuuzwa, upana wa uhitaji.
Kwa vyote tajwa hapo juu, hako ni kagazeti.