Mwenyekiti wa CCM kuita gazeti la chama "vigazeti" ni kosa kubwa

Hangaya Mabega juu miezi 6 tu.

Hivyo Vigazeti ndiyo vile vya kufungia Maandazi.
 
Nanukuu

"Wameanza kutuchokoza, Kuandika kwenye vigazeti kuwa Samia hata gombea, nani kasema."

Hapa nadhani mwenyekiti ameteleza maana gazeti lililoandika habari hii ni gazeti la Uhuru linalomilikiwa na Chama cha Mapinduzi. Kuliita gazeti hili kigazeti ni kosa kubwa sana.

Ila kama ndiyo ameamua hivyo sawa.

Mtu mwenyewe unajiita gwajima, 2tegemee utamkubari na kumpenda uyu mama!!!!!! Hatutaki rais mdini hapa!!!! Umeelewa mzehe! Naahene nkoi
 
Nanukuu

"Wameanza kutuchokoza, Kuandika kwenye vigazeti kuwa Samia hata gombea, nani kasema."

Hapa nadhani mwenyekiti ameteleza maana gazeti lililoandika habari hii ni gazeti la Uhuru linalomilikiwa na Chama cha Mapinduzi. Kuliita gazeti hili kigazeti ni kosa kubwa sana.

Ila kama ndiyo ameamua hivyo sawa.
Gazeti la Uhuru limeshuka sana kihadhi.
Lilikuwa gazeti, sasa kijigazeti.
 
Haswaaaa tena ni kijigazeti itapendeza kama kikitumika kujipangusia kimba toilet
Za pale Lumumba!

Nadanganya ndugu zanguni?
 
Dharau kwa vyombo vya habari.

Ilianzia kwenye vitivii sasa hivi imekuwa vigazeti

MCT wako kimya jukwaa la wahariri liko kimya.

Hadi kufika 2025, Hadija Kopa hatakuwa na namna zaidi ya kurudi shule.
 
Nanukuu

"Wameanza kutuchokoza, Kuandika kwenye vigazeti kuwa Samia hata gombea, nani kasema."

Hapa nadhani mwenyekiti ameteleza maana gazeti lililoandika habari hii ni gazeti la Uhuru linalomilikiwa na Chama cha Mapinduzi. Kuliita gazeti hili kigazeti ni kosa kubwa sana.

Ila kama ndiyo ameamua hivyo sawa.
Walitumana tu waandike hivyo, ili tuambiwe mawazo yake leo, hakuna mtoto wa kumdanganya hapo!
 
Kwa hiyo katika hotuba yake yote umeona neno VIGAZETI tu? Mengine yote umeyasahau?

hata angesema Mgazeti Mkubwa bado ungemkosoa tu.

Mengi aliyoongea ni mazuri kuliko mabaya unayoyatafuta kwa tochi.

tujitahidi kuangalia yale ambayo ni positive.
It’s the devil in the detail that’s newsworthy. Ndiyo habari yenyewe. Hayo “mazuri” na “positive” huwa ni kwa wenye uelewa haba. Mark that.
 
Tayari CCM imeshapata mgombea wake wa mwaka 2025.
Anayetaka urais kupitia chama hicho asubiri Mwaka 2030.

Kuna genge ndani ya CCM naona kuanzia leo wameanza kupata homa.

Kuna njia mbili kwao, walazimishe kugombea kama alivyofanya Membe ili hatimaye watimuliwe kisha wahamie upinzani au wasubiri mpaka 2030.
Siasa za Tanzania tamu sana, unamfanyia mabaya mwanasiasa mwenzako, lakini baada ya muda unajikuta kwenye mazingira ya aina ile ile.
 
Sio 2035? Manake 2021-2025 ni uRais wa kudura. 2025-2030 mitano ya kwanza na 2030-35 mitano ya pili. Anyway, tusubiri. Mipasho ndio imeanza. Mpaka 2025 ukweli wenyewe utakuwa wazi kabisa.
 
Nanukuu

"Wameanza kutuchokoza, Kuandika kwenye vigazeti kuwa Samia hata gombea, nani kasema."

Hapa nadhani mwenyekiti ameteleza maana gazeti lililoandika habari hii ni gazeti la Uhuru linalomilikiwa na Chama cha Mapinduzi. Kuliita gazeti hili kigazeti ni kosa kubwa sana.

Ila kama ndiyo ameamua hivyo sawa.
Hajui nguvu ya vyombo vya habari. Pia hii inaashiria kuwa hapendi vibrant media ataviminya na kuzikosesha pumzi.

Kesho yetu ni ngumu.
 
Nanukuu

"Wameanza kutuchokoza, Kuandika kwenye vigazeti kuwa Samia hata gombea, nani kasema."

Hapa nadhani mwenyekiti ameteleza maana gazeti lililoandika habari hii ni gazeti la Uhuru linalomilikiwa na Chama cha Mapinduzi. Kuliita gazeti hili kigazeti ni kosa kubwa sana.

Ila kama ndiyo ameamua hivyo sawa.
Huyu mama kumbe mle mle tu.
 
Gazeti lenyewe linajijua kuwa ni la kichoko choko ,la kipuuzi na la kijinga jinga ndio maana unaona hata wao wamefurahia kuitwa hvy,no further discussion
 
Ndiyo ameshasema 2025 ni yeye,na baada ya kulidhibiti Sukuma Gang kwa msaada wa Msoga Gang sasa ni amri moja tu toka Makunduchi, asiyetaka ahamie Burundi. Ameshatuona wanaume wote wa nchi hii ni maboya. Hii ndiyo injili mpya toka Chifu mkuu Hangaya.
Huyu anaanzisha vita ambayo atakosa pa kutokea ananyanyua mabega sana. Kila suju anajifanya ye ndo mkombozi wa wanawake... Mara wananidharau kisa mwanamke, mara navunja Taboo ya waziri kuwa jitu lenye misuri... yaani kwake wanaume ni maadui. She is insecure hajiamini kwenye nafasi yake bado anahofu. Ila bottom line kumpa nchi mwanamke muda ulikuwa bado. Amedhihirisha hawezi.
 
Nanukuu

"Wameanza kutuchokoza, Kuandika kwenye vigazeti kuwa Samia hata gombea, nani kasema."

Hapa nadhani mwenyekiti ameteleza maana gazeti lililoandika habari hii ni gazeti la Uhuru linalomilikiwa na Chama cha Mapinduzi. Kuliita gazeti hili kigazeti ni kosa kubwa sana.

Ila kama ndiyo ameamua hivyo sawa.
Mihemko na hisia za ufeminist katika baraza la waimba taarabu unatarajia nini?
 
Nilishituka pindi niliposikia anasema kuna vigazeti , hii ni dharau ya hali juu, ipo siku atakuja kutuambia kuna kijeshi cha polisi, kuna vijeshi vya ulinzi na usalama ,kuna vimahakama na kuna vijaji vinasumbua
.

Endeleeni kushangilia kila kitu na kukosoa kila kitu, shauri zenu
 
Bado unatongotongo kapige msawaki domo inanuka
 
Back
Top Bottom